Ndugu mleta mada kama haya unayoongea yanaukweli basi napata wasiwasi juu ya uanaume wako pengine huyo dogo ndio wewe umeamua kuleta tangazo kimkakati.
Jinsi ulivyoleta ile mada ya jana na leo ukaleta huu muemdelezo, zaidi kilichonishangaza ni namna unavyojibu wadau! Yaani wewe kama kichwa cha familia mpaka dakika hii umekosa maamuzi kwa huyo kijana? Au nawewe ndio walewale?
Eti nawaza nimwambie dada yake lakini sijui nianzie wapi, nyoko nyoko and nyoko nyoko...
Na nyie wadau mnaumshauri huyu mwamba hamjagundua tu kwamba huyu ndio mwenyewe anajitangaza kimkakati? JF ya sikuizi sijui imekuwaje! Aaaagghr