Inabidi amtoe kabsaHivi ubaweza hata kumeza chakula kweli ukimuona hapo home?
Wee n mdau wa huko eeeh? ššššUkitaka kujua wengi wanakaangwa Ingia Grindr na tinder ujionee watoto wa chuo wanavyogawa bottom
šššššKwa hiyo mkuu umembana ili aseme kama yeye ni shoga ama umempelekea na moto? Ama sijaelewa ulivyoandika?
Hivi ndivyo fikra zenu zilivyo? Kwamba ukiishi na shoga nawee utakua shoga hata km huutaki? Mna matatizo gani nyie Waja? LolHuyo atawaambukiza hiyo tabia watoto wako kitendo Cha kuendelea kuishi Nae under one roof kitapelekea watoto wako + watoto wa jamii yako waone kuwa Ulegevu legevu wake ni kitu Cha kawaida mwisho wa siku na watoto wenu nao wataanza kuwa kama huyo dogo,
So muondoe katika hiyo nyumba Aisee
šššššToo sad sasa kuna hawa wanajiita mashoga mikazo hawa huwezi wajua lakin wapo wengi kuliko hawa wenye girlish behavior...unakuta limwanaume limekaza kijeba mpaka una sema kidume si hiki halafu unakuta linakuomba ulikaze au unagundua wanalikaza.
šššššSasa we unashindwa kumtandika boloyang mkeo sababu ya bwabwa mnalea hapo.
Au uligusagusa huko ukiwa unambana.?
Acha wivu wewe ushapita humo
Shemeji yako?
Yaani unakosa kazi unaanza kufuatilia makaka wa mkeo kama ni mashoga?
Adhoofike kisa nn? Huyo mzee hana maisha yake? Hivi sielewagi mtu aumie eti kisa mtoto wa kiume kuwa GaY,Kuwa na mtoto au ndugu akawa anafilwa inafedhehesha sana. Kuna mzee mmoja ni jirani yangu ,kijana wake ni shoga ~ huyu mzee anadhoofika sana kutokana na kijana wake kuwa shoga.
Pole sana
Facebook pia ukifanya tafiti vizuri utashtuka wengine wapo vijijini huko wala sio kwenye majiji makubwa tunayofikiri labda ndio yanawaharibu.Ukitaka kujua wengi wanakaangwa Ingia Grindr na tinder ujionee watoto wa chuo wanavyogawa bottom
We unajua shemeji ni ndugu yako?Au sio? Sikujua kumbe mashemeji sio ndugu zangu dah!!
Baada ya siku 90 nitaleta maelezo kamili kuhusu;Pole Sana. Kwahiyo aliamua yeye mwenyewe kuwa shoga au ni mazingira yalimlazimisha?...Binafsi siwezi kuishi nyumba moja na mtu aliyeamua mwenyewe kuwa shoga, kama anataka kubadilika naweza kuingia hizo gharama za huo mchakato lakini kama ameamua ndiyo maisha Yake na anataka aendelee kuwa hivyo basi lazima aondoke nyumbani arudi kwao, siwezi kuvumilia
Huyo janja alikua ana umri gani? Na huyo anko pia umri wake? Ili nidadavue kitu.Sikiza mwanetu usijipe umuhimu kwa huyo shoga. Mambo ya shoga mwachie shoga na familia yake.
Na kitendo cha kumruhusu shoga aendelee kukaa hapo kwako atakuja kuwaharibu watoto wako na hata ndugu zako wakija kukutembelea.
Ogopa sana ***** akiwa nyumbani kwako. Hayo ******* yana ushawishi mkubwa sana
Kuna mwanangu alikaribisha nyumbani kwake ndugu "anko" wa watoto wake kumbe shoga pasipo kujua.
Usiku si anko akaomba apakuliwe na dogo wa jamaa. Imagine anamuomba mtoto wa dada yake
Na kweli janja akaichapa ila kesho alijuta sana ikabidi amwambie baba yake ndio jamaa kutimuliwa na vikao vya familia karibu mwezi
Umekuja hapa kuchangamsha kijiwe, au laah muhusika ni wee mwenyewe, unajaribu kuona waja wanasema nn kuhusu, LolBaada ya siku 90 nitaleta maelezo kamili kuhusu;
1.Historia yake ilikuwaje akawa shoga(nimemuuliza kanipa maelezo kidogo ila taratibu atafunguka kamili nimempa muda)
2. Mrejesho kuhusu nimeupokeaje ushauri kuhusu hili jambo kutoka kwa wadau tofauti tofauti hasa humu jukwaani
3.Hatua nilizoanza kuzichukua kumrekebisha (amesema hapendi kuwa shoga) nina mpango nimpeleke kwa wataalamu apewe ushauri nasaha
4.Hitimisho tumefikia wapi litaletwa hapa hapa JF
š„Kwa sasa wacha tuipambanie nchi yetu kwanza!!
Oktoba hakuna uchaguzi!! Utayeyuka shwaaaš¤ yatatokea mauza uza
Janja alikuwa na 17Huyo janja alikua ana umri gani? Na huyo anko pia umri wake? Ili nidadavue kitu.
poleWa kiume dogo ndo kwanza ana miaka ishirini ila dah!!!
Grinder ulidownload kwenye simu Yako ya nini..... Embu tuanzie hapo kwanzaUkitaka kujua wengi wanakaangwa Ingia Grindr na tinder ujionee watoto wa chuo wanavyogawa bottom
Kabisa, kichaa anachekesha kama hatokei kwenu.Ombea yasikukute ni aibu tupu