NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
- Thread starter
- #21
Teko Modise asante kwa ushirikiano wa screen shot uliyoweka ya speed,
Yaani tigo ikifika mida hii saa mbili hadi saa tano speed inapungua sana, ndio mida ambayo wengi tumepumzika tunataka kudownload muvi, kuingia youtube, kupigiana video call, n.k ila kwa speed hii inashindikana, inabidi tuwe tunachati na kuingia tu humu jamiiforums.