NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
- Thread starter
- #41
Kila mbuzi atakula Kwa urefu wa kamba yake 😁😁Naunga bufee ya ttcl kwa buku mb 500 natumia wiki na zaidi, then kwa dakika naunga cha buku dk 130 cha tigo au voda kwa wiki, ukiwazidisha hao jamaa wawili unapata buku nane kwa mwezi.
wengine hata kutumia gb 2 kwa siku bado tunajibana, kuna mambo mengi sana kwenye internet
-Kufanya back ups
-kudownload mafaili
-kucheki video tutorials
-video calls
-meetings za zoom / space
-kudownload updates za vifaa
-kucheki series nwtflix / prime
-kushusha movies, n.k.