Mrejesho: Baada ya kupitia msoto mkali wa bei kali za vifurushi vya data, nimehamia na kutulia Tigo post paid, nimepunguza gharama zaidi ya maradufu

Mrejesho: Baada ya kupitia msoto mkali wa bei kali za vifurushi vya data, nimehamia na kutulia Tigo post paid, nimepunguza gharama zaidi ya maradufu

Naunga bufee ya ttcl kwa buku mb 500 natumia wiki na zaidi, then kwa dakika naunga cha buku dk 130 cha tigo au voda kwa wiki, ukiwazidisha hao jamaa wawili unapata buku nane kwa mwezi.
Kila mbuzi atakula Kwa urefu wa kamba yake 😁😁

wengine hata kutumia gb 2 kwa siku bado tunajibana, kuna mambo mengi sana kwenye internet

-Kufanya back ups
-kudownload mafaili
-kucheki video tutorials
-video calls
-meetings za zoom / space
-kudownload updates za vifaa
-kucheki series nwtflix / prime
-kushusha movies, n.k.
 
Yaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.

Kweli Mkuu
 
Natumia hii huduma mwezi wa pili sasa na kwakweli nimeipenda na hapo awali matumizi yangu average ni 1 gb per day hivyo nimgetumia 2,000/= * 30days= 60000/= kwa sasa nimepunguza matumizi mpaka kuwa 25,000/ tz kwa postpaid
WhatsApp Image 2022-10-20 at 15.45.39.jpg
 
Back
Top Bottom