Mrejesho: Baada ya kupitia msoto mkali wa bei kali za vifurushi vya data, nimehamia na kutulia Tigo post paid, nimepunguza gharama zaidi ya maradufu

Mrejesho: Baada ya kupitia msoto mkali wa bei kali za vifurushi vya data, nimehamia na kutulia Tigo post paid, nimepunguza gharama zaidi ya maradufu

Teko Modise asante kwa ushirikiano wa screen shot uliyoweka ya speed,

Yaani tigo ikifika mida hii saa mbili hadi saa tano speed inapungua sana, ndio mida ambayo wengi tumepumzika tunataka kudownload muvi, kuingia youtube, kupigiana video call, n.k ila kwa speed hii inashindikana, inabidi tuwe tunachati na kuingia tu humu jamiiforums.
 
.
Screenshot_20221003-210031.jpeg
 
Plus namba 1 au 3 nadhani za tigo unapiga bure kabsa.

Nalipa 30k per month.

Mimi nina mwaka wa 4 huu sijawahi kwangua vocha kabsa au kununua vocha.
Asante sana mkuu mimi nipo halotel nadhani wana hii huduma
Nilikuwa nafahamu postpaid enzi za tritel ilikuwa gharama sana akili ikawa imeganda hapo
@ 30 k unasevu parefu sana
 
Naunga bufee ya ttcl kwa buku mb 500 natumia wiki na zaidi, then kwa dakika naunga cha buku dk 130 cha tigo au voda kwa wiki, ukiwazidisha hao jamaa wawili unapata buku nane kwa mwezi.
 
Yaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.
Inategemeana na matumizi yako pamoja na kazi unazofanya,

Fundi wa software za simu kwa mfano, hata ukimpa gb 10 kwa siku zinaweza zisimtoshe.
 
Yaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.
Punguza kulalamika, hakuna aliyekuuliza mkuu. Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
 
Ngoja nitafakari hii issue ya Post paid,ila ninaipenda sana Halotel,hawa Tigo ninakoishi mtandao mara nyingi sio mzuri...
 
Naingia jf,magemu,movie vpn shwaaa
25k hii Ela Bora ukatoe sadaka
 
Kwanini kifurushi kinaitwa cha wiki wakati hakikai hata masaa mawili?
Wewe jamaa, wao wamekukadiria utumie kwa wiki sasa kwa urafi wako unakitumia ndani ya dakika 60 unaanza kulaumu.

Ni sawa na upewe chakula cha mpaka jioni kwa njaa zako unakipiga saa 1 asubuhi pekee kisha ulalamike kwanini chalula kiishe asubuhi tu.

Badilika na tumia kwa mambo ya msingi bando la wiki
 
Ili kujiunga ni lazima kwenda tigoshop? Huwezi kujiunga mtandaoni? Ni lazima uwe na bank statement?
 
Back
Top Bottom