Asee reasonable30Gb
Sms 2000 nadhani.
Dakika 2000 mitandao yote.
Kila mwezi
Plus namba 1 au 3 nadhani za tigo unapiga bure kabsa.Asee reasonable
Bei ngapi unlipa kwa mwezi
Hio speed bado ndogo sana, mimi eneo nilipo nakamata bars 2 tu mchana asubuhi hadi jioni nacheza kwenye 14 Mbps
Asante sana mkuu mimi nipo halotel nadhani wana hii hudumaPlus namba 1 au 3 nadhani za tigo unapiga bure kabsa.
Nalipa 30k per month.
Mimi nina mwaka wa 4 huu sijawahi kwangua vocha kabsa au kununua vocha.
Yaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.Sisi wa Buku jero kwa wiki vipi
Inategemeana na matumizi yako pamoja na kazi unazofanya,Yaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.
Punguza kulalamika, hakuna aliyekuuliza mkuu. Kila mbuzi ale urefu wa kamba yakeYaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.
Vifurushi vya data tu
25,000 - Gb 30
unapata ngapi? itapendeza ukiweka screenshot
Wewe jamaa, wao wamekukadiria utumie kwa wiki sasa kwa urafi wako unakitumia ndani ya dakika 60 unaanza kulaumu.Kwanini kifurushi kinaitwa cha wiki wakati hakikai hata masaa mawili?
Nenda tigoshop ukiwa na National IDIli kujiunga ni lazima kwenda tigoshop? Huwezi kujiunga mtandaoni? Ni lazima uwe na bank statement?