Kila mbuzi atakula Kwa urefu wa kamba yake 😁😁Naunga bufee ya ttcl kwa buku mb 500 natumia wiki na zaidi, then kwa dakika naunga cha buku dk 130 cha tigo au voda kwa wiki, ukiwazidisha hao jamaa wawili unapata buku nane kwa mwezi.
Masharti yake yapoje yaani ili uungwe
30Gb
Sms 2000 nadhani.
Dakika 2000 mitandao yote.
Kila mwezi
Yaan kabisa nilipie 25000 kwa mwezi kwaajili ya mb? Ata ingekuwa ni pamoja na unlimited dakika kwa mwezi siwez unga. Matumizi yangu nimeyalimit kwa mwezi ikienda sana ni buku nane.
Vpn mb 200 kwa siku
Sms 1000 kwa mwezi
Kupanga ni kuchagua[emoji28][emoji28][emoji28]
Naingia jf,magemu,movie vpn shwaaa
25k hii Ela Bora ukatoe sadaka
Masharti yake yapoje yaani ili uungwe
Masharti yake yapoje yaani ili uungwe
Asante sanaMaelekezo mengine utapewa hapo hapo unapohudumiwa
- Fika kwenye ofisi zao ukiwa na kitambulisho cha NIDA.
- Uwe na kiasi cha TZS. 30,000 kama 'Security Deposit'
Yes from j3 will be availableHii huduma ya post paid sahivi ikoje bei ya vifurushi imebadilika?
Hii huduma ya post paid sahivi ikoje bei ya vifurushi imebadilika?
Hii ni bei ya zamani mpya haipo hiviYes from j3 will be available View attachment 2535746
Natumia cha GB 7 15k na dk 800 naweza kubadili kwenda hicho cha 15k kipya?Yes from j3 will be available View attachment 2535746
Hivi ulivyotuma ndio vya zamani Mkuu 15k GB 7 kwenye Combo, Natumia mda mrefu sana.Hii ni bei ya zamani mpya haipo hivi
Inawezekana nenda ofisi za tigo ubadilishe mkatabaNatumia cha GB 7 15k na dk 800 naweza kubadili kwenda hicho cha 15k kipya?