Pengobovu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 482
- 545
Yes Chief from Jumatatu bei zinashuka tena.. Lakini wanataka TIN na business licence.Natumia cha GB 7 15k na dk 800 naweza kubadili kwenda hicho cha 15k kipya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Chief from Jumatatu bei zinashuka tena.. Lakini wanataka TIN na business licence.Natumia cha GB 7 15k na dk 800 naweza kubadili kwenda hicho cha 15k kipya?
Wameshusha tena MkuuHii ni bei ya zamani mpya haipo hivi
Na hapo alieandika alikosea ni 10 gb sio 15. Hiyo ComboYes Chief from Jumatatu bei zinashuka tena.. Lakini wanataka TIN na business licence.
Kumbe, sina taarifa mkuu, ngoja nifuatilieWameshusha tena Mkuu
Huku bado, nimeongea na wahudumu tigo wanasema bado hawajapata taarifa rasmi.Na hapo alieandika alikosea ni 10 gb sio 15. Hiyo ComboView attachment 2535936View attachment 2535937
Sikujua mkuu kumbe kuna mabadiliko mapya.Hivi ulivyotuma ndio vya zamani Mkuu 15k GB 7 kwenye Combo, Natumia mda mrefu sana.
Sawa utawacheki tena Jumatatu.Huku bado, nimeongea na wahudumu tigo wanasema bado hawajapata taarifa rasmi.
MREJESHO: huku nilipo wanasema bado haijafikaSawa utawacheki tena Jumatatu.
Safi, HALOTEL SME bando huna?AIRTEL SME bando...
View attachment 2567130
Ndo ikoje iyo mkuu fafanuaVpn mb 200 kwa siku
Sms 1000 kwa mwezi
Kupanga ni kuchagua[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndo ikoje iyo mkuu fafanua