Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu akikupa vipi utavaa au utapiga kavu.[emoji23][emoji23][emoji23]hata mm baada ya kusoma comment ya mdau nimeona niangalie profile picture Yako aise n kwel madam una mzigo alafu inaoneka black beauty flan hv wakung'aa[emoji39]
Daaah mkuu kweli ? Daaah nomaHakuna UKIMWI.. mbn kila siku tunawaambia hamsikii
Mkuu ntaendaa na ndomu siuzi mechii km mdau alivyofanyaa mpk akapataa magonjwa [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu akikupa vipi utavaa au utapiga kavu.
Mikalio hio ndio inayoua watu.
KumbeHakuna UKIMWI.. mbn kila siku tunawaambia hamsikii
Mimi sijui kutumia hio midude mwaka 3 sasa.Mkuu ntaendaa na ndomu siuzi mechii km mdau alivyofanyaa mpk akapataa magonjwa [emoji23][emoji23][emoji23]
UMEPEWA SH NGAPI KUJA KITISHA WATU? ETI UKIMWI NI UGONJWA!! FIKIRISHA AKILI NDG KABLA HUJALETA MABANDIKO HAPA. TOFAUTISHANilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.
Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu
Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia. Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki...www.jamiiforums.com
Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu.
View attachment 2835557
Japo wanashauri upime siku 28 baada ya kumaliza PEP ila uvumilivu umenishinda nimeamua nicheki tuu, baada ya siku 28 zingine nitacheki tena.
Kama nilivyosema lengo la kuleta huu mkasa ni kuwapa fundisho watu kwamba UKIMWI upo na unaua, na mara nyingi watu wanaambukizwa kutoka kwa wale wanaowaamini sana kama ilivyonitokea mimi.
Jambo moja ambalo nimepata funzo baada ya huu mkasa ni hili: Maisha baada ya kuwa muathirika yatakuwaje?.
Hilo jambo ndilo ambalo huwa linatesa sana kuliko hata UKIMWI wenyewe. Imagine kama ulikuwa umeoa au kuolewa, stress ya kwanza kukupata ni je mwenzio itakuwaje? Umuambie ama usimuambie? Je usipomuambia na ukamuambukiza itakuwaje? Ukimuambia then akasema muachane itakuwaje?
Kama una watoto utaanza kuwawaza wanao maisha yao baada ya hapo yatakuwaje? Ukianza kuumwa na angali bado wadogo utawaweka katika situation gani? Au ukifa utawaacha wakiwa wameshasimama kimaisha au laah?
Kama ulikuwa hujaoa au kuolewa itakuwaje? Ina maana ndiyo mpango wa kuzaa umeishia hapo? Na kama ukampata mwenza ambaye wote mmeathirika mkaamua kuzaa huyo mtoto akizaliwa ameambukizwa itakuwaje? Si mnazidi kujiongezea mzigo na nafsi zitakuwa zinawasuta maana ni kama mmemleta huyo mtoto aje kuteseka tuu duniani?
Hivyo kinachotesa siyo UKIMWI wenyewe, ni mawazo ya maisha baada ya kuathirika yatakuwaje maana mambo mengi ya kijamii yanaparanganyika. Kama ulikuwa na watoto tayari inaweza isikupe stress sana, ila kama bado huna watoto amini usiamini itakutesa sana sana..
Hivyo ndugu zangu tuchukue tahadhari kabla ya hatari, usiruhusu nyege zikuendeshe kwani mwisho wa siku majuto ndiyo yatakayofuatia..
View attachment 2835574
yaani ukamuona na dalili ambazo siyo kwenye ngozi yake na bado ukapiga tena..!!?Aisee pep sio poa halaf ukitumia lazima ufumuke balaa(mwili unanenepa)
Nakumbuka ni mwaka huu mwanzoni pale buza maeneo ya savoy niliokota Pepo mmoja... Nikamchukua had mahala Fulani nikapaki gari nkavuta kiti Kwa nyuma dada wa wate kaniwekea kuchuma mboga NAMI nikamfumua, kama unavyojua pombe na condom havipatani hata siku Moja, nilienda mwendo mrefu bila kumaliza ikanibid nivue niende kavu napo Bado mwendo ukawa ni ulele, basi ikanilazimu niongeze speed Ili kuongeza msuguano utakao nifanya niwah kumaliza(nilimaliza ila Kwa mbinde sana). Bas tulivyomaliza nikamrudisha pale bar na mm nikahamia bar nyingne,,, mungu sio athumani nikamuona Tena kwenye Ile bar nyingne(sweet cona) yupo anadanga na wanapangana dau na mshikaj mwingine (hapo kimoyomoyo nikajisemea nimekwisha)
Nilimsubiri had arud nikachukua namba yake halaf asubuhi nikamtafuta Tena Ili Nile vizur bila kujilaumu( hapo ndo nilizid kuchanganyikiwa) . Ngozi yake ilikua inaonesha huyu mtu tayari amewaka(Kwa wadau ni rahs kuzitambua hizi ngozi za waathirika,, note nimesema wadau sio nyinyi msokuwa na experience ya kutosha
Nilipiga Tena then Kuna mwanangu nikampanga akaniletea pep, na nikaanza kuzitumia on the spot (Mimi nilianza ndani ya masaa nane baada ya mtifuano)
Kimbembe kilikuwa Kwa wife, akawa anashangaa sitaki kumuingilia na wakati sio kawaida yangu, Mimi ni wale watu tukiona tu mwanamke amejibinua kidogo lazma tule mzigo, nilijitahid kumkwepa mpaka nikamaliza dozi na nilivopima nikajikuta msafi
Aisee pep sio poa halaf ukitumia lazima ufumuke balaa(mwili unanenepa)

Kuna mdada nisex nae jana,hapa hata kibaruani sijaenda nimenunua vipimo kumsubiri aje tupime naona ananipiga chenga mapaka nahisi anao. Kwasabu mara hajarudi kazini mara sijui nini,yaani kiufupi haeleweki.
Hivi inafaa muda gani wa kuripoti tukio kama hili hospital ase?
We acha tu,lisaa la 15 linaenda saivi na hajaja sijajua nafanyajeUsimwambie unahitaj kumpima we muite kawaida tuu akifika ndo mpange kiupole mpime
Kwa heka heka za ule usiku najua tayar niliukwaa kwaiyo nikaamua kula nikiwa timamu then nikadaka pep chap Kwa harakayaani ukamuona na dalili ambazo siyo kwenye ngozi yake na bado ukapiga tena..!!?
Wewe ni jasiri mno bruh..!🙌
Ndio mkuu Yani hadi saiv Bado mwili umevimba..ila najua ntapungua tuMbona hujasema ni vipi ulinenepa!
Hivi ile story yako ya yule bibi anayeua watu imeyeyukia wapi, naona inaishia page 2/4Sawasawa

Unaweza kuwa ulikwepa UKIMWI ukavivaa virusi vinavyo sababisha saratani ya shingo ya uzazi (cervix Cancer) ukamwambukiza mkeo.Aisee pep sio poa halaf ukitumia lazima ufumuke balaa(mwili unanenepa)
Nakumbuka ni mwaka huu mwanzoni pale buza maeneo ya savoy niliokota Pepo mmoja... Nikamchukua had mahala Fulani nikapaki gari nkavuta kiti Kwa nyuma dada wa wate kaniwekea kuchuma mboga NAMI nikamfumua, kama unavyojua pombe na condom havipatani hata siku Moja, nilienda mwendo mrefu bila kumaliza ikanibid nivue niende kavu napo Bado mwendo ukawa ni ulele, basi ikanilazimu niongeze speed Ili kuongeza msuguano utakao nifanya niwah kumaliza(nilimaliza ila Kwa mbinde sana). Bas tulivyomaliza nikamrudisha pale bar na mm nikahamia bar nyingne,,, mungu sio athumani nikamuona Tena kwenye Ile bar nyingne(sweet cona) yupo anadanga na wanapangana dau na mshikaj mwingine (hapo kimoyomoyo nikajisemea nimekwisha)
Nilimsubiri had arud nikachukua namba yake halaf asubuhi nikamtafuta Tena Ili Nile vizur bila kujilaumu( hapo ndo nilizid kuchanganyikiwa) . Ngozi yake ilikua inaonesha huyu mtu tayari amewaka(Kwa wadau ni rahs kuzitambua hizi ngozi za waathirika,, note nimesema wadau sio nyinyi msokuwa na experience ya kutosha
Nilipiga Tena then Kuna mwanangu nikampanga akaniletea pep, na nikaanza kuzitumia on the spot (Mimi nilianza ndani ya masaa nane baada ya mtifuano)
Kimbembe kilikuwa Kwa wife, akawa anashangaa sitaki kumuingilia na wakati sio kawaida yangu, Mimi ni wale watu tukiona tu mwanamke amejibinua kidogo lazma tule mzigo, nilijitahid kumkwepa mpaka nikamaliza dozi na nilivopima nikajikuta msafi
Hebu kunywa kofta kwanza..... Naomba tusitishaneUnaweza kuwa ulikwepa UKIMWI ukavivaa virusi vinavyo sababisha saratani ya shingo ya uzazi (cervix Cancer) ukamwambukiza mkeo.
Hii hujionesha kwa mkeo baada ya muda mrefu sana.
Pole mkuu.Hebu kunywa kofta kwanza..... Naomba tusitishane