Mrejesho: Baada ya kusex na muathrika wa HIV, haya ndiyo majibu baada ya mwezi mmoja

Aisee pep sio poa halaf ukitumia lazima ufumuke balaa(mwili unanenepa)

Nakumbuka ni mwaka huu mwanzoni pale buza maeneo ya savoy niliokota Pepo mmoja... Nikamchukua had mahala Fulani nikapaki gari nkavuta kiti Kwa nyuma dada wa wate kaniwekea kuchuma mboga NAMI nikamfumua, kama unavyojua pombe na condom havipatani hata siku Moja, nilienda mwendo mrefu bila kumaliza ikanibid nivue niende kavu napo Bado mwendo ukawa ni ulele, basi ikanilazimu niongeze speed Ili kuongeza msuguano utakao nifanya niwah kumaliza(nilimaliza ila Kwa mbinde sana). Bas tulivyomaliza nikamrudisha pale bar na mm nikahamia bar nyingne,,, mungu sio athumani nikamuona Tena kwenye Ile bar nyingne(sweet cona) yupo anadanga na wanapangana dau na mshikaj mwingine (hapo kimoyomoyo nikajisemea nimekwisha)

Nilimsubiri had arud nikachukua namba yake halaf asubuhi nikamtafuta Tena Ili Nile vizur bila kujilaumu( hapo ndo nilizid kuchanganyikiwa) . Ngozi yake ilikua inaonesha huyu mtu tayari amewaka(Kwa wadau ni rahs kuzitambua hizi ngozi za waathirika,, note nimesema wadau sio nyinyi msokuwa na experience ya kutosha

Nilipiga Tena then Kuna mwanangu nikampanga akaniletea pep, na nikaanza kuzitumia on the spot (Mimi nilianza ndani ya masaa nane baada ya mtifuano)

Kimbembe kilikuwa Kwa wife, akawa anashangaa sitaki kumuingilia na wakati sio kawaida yangu, Mimi ni wale watu tukiona tu mwanamke amejibinua kidogo lazma tule mzigo, nilijitahid kumkwepa mpaka nikamaliza dozi na nilivopima nikajikuta msafi
Yes ni kweli kabisa kwa wadau ukitazama ngozi ya muathirika tu unajua, huwa wana spots special.

Huyu wangu naye anavyo, ila sijui ni nini kilinizubaisha mpaka nikamla bila kupima...

PEP zinatesa sana mwanzoni, ila inafika muda unazizoea. Na zinafanya mwili unaongezeka na unakuwa mchovuchovu kiaina..
 
Kuna mdada nisex nae jana,hapa hata kibaruani sijaenda nimenunua vipimo kumsubiri aje tupime naona ananipiga chenga mapaka nahisi anao. Kwasabu mara hajarudi kazini mara sijui nini,yaani kiufupi haeleweki.

Hivi inafaa muda gani wa kuripoti tukio kama hili hospital ase?
Ndani ya masaa 72 mkuu, kama humuelewi na anapiga chenga kuja kupima bora ukachukue PEP tu...

Ila kama mlisex kawaida siyo rahisi kuupata. Mimi nilikuwa kwenye tension kubwa kwa sababu nilizama mzima mzima, piga sana deki, kimsingi hakuna uchafu hatukufanya kasoro anal sex tu...

Ila kama mlifanya tuu kawaida, hamjachubuana basi ondoa wasiwasi..
 
Naomba kujua Bei ya PEP tafadhali,hii ni muhimu kuwa nayo kwenye Bag kwa sie wasafiri wa kila siku
PEP haziuzwi, na wala hazitolewi kama njugu, inabidi uwe na strong reason ya kuzipewa.... Huwezi ukapewa ukawa unatembea nazo..
 
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.

Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu.

View attachment 2835557

Japo wanashauri upime siku 28 baada ya kumaliza PEP ila uvumilivu umenishinda nimeamua nicheki tuu, baada ya siku 28 zingine nitacheki tena.

Kama nilivyosema lengo la kuleta huu mkasa ni kuwapa fundisho watu kwamba UKIMWI upo na unaua, na mara nyingi watu wanaambukizwa kutoka kwa wale wanaowaamini sana kama ilivyonitokea mimi.

Jambo moja ambalo nimepata funzo baada ya huu mkasa ni hili: Maisha baada ya kuwa muathirika yatakuwaje?.

Hilo jambo ndilo ambalo huwa linatesa sana kuliko hata UKIMWI wenyewe. Imagine kama ulikuwa umeoa au kuolewa, stress ya kwanza kukupata ni je mwenzio itakuwaje? Umuambie ama usimuambie? Je usipomuambia na ukamuambukiza itakuwaje? Ukimuambia then akasema muachane itakuwaje?

Kama una watoto utaanza kuwawaza wanao maisha yao baada ya hapo yatakuwaje? Ukianza kuumwa na angali bado wadogo utawaweka katika situation gani? Au ukifa utawaacha wakiwa wameshasimama kimaisha au laah?

Kama ulikuwa hujaoa au kuolewa itakuwaje? Ina maana ndiyo mpango wa kuzaa umeishia hapo? Na kama ukampata mwenza ambaye wote mmeathirika mkaamua kuzaa huyo mtoto akizaliwa ameambukizwa itakuwaje? Si mnazidi kujiongezea mzigo na nafsi zitakuwa zinawasuta maana ni kama mmemleta huyo mtoto aje kuteseka tuu duniani?

Hivyo kinachotesa siyo UKIMWI wenyewe, ni mawazo ya maisha baada ya kuathirika yatakuwaje maana mambo mengi ya kijamii yanaparanganyika. Kama ulikuwa na watoto tayari inaweza isikupe stress sana, ila kama bado huna watoto amini usiamini itakutesa sana sana..
Hivyo ndugu zangu tuchukue tahadhari kabla ya hatari, usiruhusu nyege zikuendeshe kwani mwisho wa siku majuto ndiyo yatakayofuatia..

View attachment 2835574
Hiyo kitu isikie tu kwa watu.
Nyege ni mbaya sana
 
Asee watu wa kubeti wakiona Neno "Pep" wanaumia mno.

Anyway Jina Ukimwi ndio waya unaowaunguza watu wengi.
Kupewa sifa za Ukimwi na kuliskia Jina Hilo Mzinzi anakwisha taratiiiibu.
 
Kuna paka pori moja ivi inajiuza nilienda kuiokota nilikuwa nimelewa nikapga na condom baada ya game tukabadilishana namba
Kesho yake kumekucha nakuja kumuona nikawa nahisi amewaka huyu dem jinsi alivo nikaona sio kesi maana nilitumia mpira

Baada ya wiki kupita akanicheki kuomba tuonane nae nilivofika ananiambia nataka tusex ila tusitumie condom nimemiss kula pipi bila maganda
Akasema kama simuamini yeye anacho kipimo tupime, baada ya kupima demu hana ngoma ila mimi nilikataa kabisa kupiga kavu kila nikitaka kujaribu kuna roho inagoma kabisa nikatoka nduki [emoji3]
 
Amini usiamini, hakuna watu salama kama hao... Mars nyingi huwa tunaambukizwa na watu ambao tunawaamini sana..

Hata huyu ni mtu ambaye huwezi kumdhania, hajiuzi na ana kazi yake nzuri tu yenye take home 1.2M plus kwa mwezi, tena yupo field ya afya ana access zote za kujikinga, ila ndo kama ivo... Assume ningesema "huyu yupo medical field namuamini acha tusifanye checkup" ingekuwaje?

Hivyo hao wanaojiuza wana usalama kushinda wote...
 
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.

Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu.

View attachment 2835557

Japo wanashauri upime siku 28 baada ya kumaliza PEP ila uvumilivu umenishinda nimeamua nicheki tuu, baada ya siku 28 zingine nitacheki tena.

Kama nilivyosema lengo la kuleta huu mkasa ni kuwapa fundisho watu kwamba UKIMWI upo na unaua, na mara nyingi watu wanaambukizwa kutoka kwa wale wanaowaamini sana kama ilivyonitokea mimi.

Jambo moja ambalo nimepata funzo baada ya huu mkasa ni hili: Maisha baada ya kuwa muathirika yatakuwaje?.

Hilo jambo ndilo ambalo huwa linatesa sana kuliko hata UKIMWI wenyewe. Imagine kama ulikuwa umeoa au kuolewa, stress ya kwanza kukupata ni je mwenzio itakuwaje? Umuambie ama usimuambie? Je usipomuambia na ukamuambukiza itakuwaje? Ukimuambia then akasema muachane itakuwaje?

Kama una watoto utaanza kuwawaza wanao maisha yao baada ya hapo yatakuwaje? Ukianza kuumwa na angali bado wadogo utawaweka katika situation gani? Au ukifa utawaacha wakiwa wameshasimama kimaisha au laah?

Kama ulikuwa hujaoa au kuolewa itakuwaje? Ina maana ndiyo mpango wa kuzaa umeishia hapo? Na kama ukampata mwenza ambaye wote mmeathirika mkaamua kuzaa huyo mtoto akizaliwa ameambukizwa itakuwaje? Si mnazidi kujiongezea mzigo na nafsi zitakuwa zinawasuta maana ni kama mmemleta huyo mtoto aje kuteseka tuu duniani?

Hivyo kinachotesa siyo UKIMWI wenyewe, ni mawazo ya maisha baada ya kuathirika yatakuwaje maana mambo mengi ya kijamii yanaparanganyika. Kama ulikuwa na watoto tayari inaweza isikupe stress sana, ila kama bado huna watoto amini usiamini itakutesa sana sana..
Hivyo ndugu zangu tuchukue tahadhari kabla ya hatari, usiruhusu nyege zikuendeshe kwani mwisho wa siku majuto ndiyo yatakayofuatia..

View attachment 2835574
Hii Hali ni mbaya sana kautaratibu nilikiweka nikikamata utumbo nikucheki afya kwanza📌🦠
 
Majibu yanasemaje hapa....
 
Kuna mdada nisex nae jana,hapa hata kibaruani sijaenda nimenunua vipimo kumsubiri aje tupime naona ananipiga chenga mapaka nahisi anao. Kwasabu mara hajarudi kazini mara sijui nini,yaani kiufupi haeleweki.

Hivi inafaa muda gani wa kuripoti tukio kama hili hospital ase?
Vipimo baada ya tendo?!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom