Mrejesho: Baada ya kusex na muathrika wa HIV, haya ndiyo majibu baada ya mwezi mmoja

Kwahiyo mkuu wewe na huyo single mother...ulipata hadi mchubuko??
 
...Wewe Uliruhusu Nyege Zikuendeshe ??...
 
Yes hatari lakini sio death sentence, ukiupata unaweza kuishi Maisha marefu kuliko hata ambaye Hana, sio ugonjwa wa kuua, wengi wanaishi nao mpaka uzeeni na kufa na natural death, kapime kama una wasiwasi, badilisha lifestyle yako au tumia vidonge na siku hizi Kuna vidonge unatumia mara Moja Kwa wiki au mwezi, Kwa US sio ugonjwa tena watu wanakunywa dawa mpaka wanakuwa katika undetected level na hata wakilala na wengine bila condom hawawaambukizi, kuweni makini ngono zembe ni zaidi ya ukimwi
 
Ramani inaonesha Kigoma ndio pamepoa, sawa.
 
Hii pep tuelezeane vizuri wadau!! maana mitungi huwa inatufanya turukie vitu hatari sana.
juzi nlikuwa bar yenye vibanda mkonge vile unajikuta mwenyewe kibandani nataka tubia tuwili akaja baamedi mreefu,mweupe,kabiduka alafu ana aibu aibu hivi msafiii Sa ngefanyaje yaani nizambi kabisa kumwacha dah😞 kondom niliiomba poo...
na aliniomba sana Leo jmosi niende itakuwa nzuri zaidi eti yakwanza alikuwa hajanizoea... Wadau nijuzeni chapu niende na pep gadiola zangu kabisa
 
kwaiyo iringa mbeya njombe ndo kwa [emoji3533][emoji3533]
 
Mungu akusaidie, uhakika subiri hadi miezi si chini ya 3. huwa unajificha. Ukifanikiwa kupona safari hii nakushauri chukua jiwe rusha nyuma, USITENDE DHAMBI TENA, usipoteze opportunity Mungu atakupatia ya second chance, Okoka. na ikitokea mistari miwili ikatokea, usikate tamaa, anza kujiandaa maisha ya baada ya kufa, uzima wa milele au moto wa milele, ni chaguo lako.
 
kwa bahati mbaya, kwa namna maumbile yalivyo, ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya ngono na mwanaume mwenye maambukizi, akakojoa ndani usipate maambukizi, labda kwa wale wa group O. ila wewe wa kawaida, ukiona umemwagiwa mbegu tu jua umeshaachiwa zigo, wanaume nao wasiotahiri wapo kwenye hatari ya kugusa tu na kunata, wale waliotahiri wana sugu hata kwenye ndoa wamefanya muda mrefu tu mke kaathirika mume kuja kupima anaona hana.
 
Nilishaepuka hilo mkuu.
Na sasa umakini umeongezeka mara 2..
Hakuna kuuza mechi, maana ku abstain ni jambo gumu sana..
 
Nilishaepuka hilo mkuu.
Na sasa umakini umeongezeka mara 2..
Hakuna kuuza mechi, maana ku abstain ni jambo gumu sana..
lakini kupima mwezi mmoja sio guarantee, usisherehekee mapema hivi, una miezi 2 mbele, na pengine hadi 6 kabisa. naamini ukipona hili utakuwa mwalimu wa wengine.
 
Kaka mi mwenyewe nmekoma nlilala na bint positive na baadae ndo ananiambia na kuchek ikawa kweli🤦🏻 kaka acha tu yan nlitaka kufa, ila nashukuru mungu nliwahi kwenda bugando kuchukua pep ndan ya masaa 13, nkaanza dawa na mpaka hapa leo ni siku 32 toka nmalize pep na nmecheki niko clean ila mwez wa 6 natak nichek tena af nioe kabisa au nitulie mazima, nkizidiwa najichua kwa kuangalia vdeo za ngono kuliko hawa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…