Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

kwahiyo na wewe una amini hizi abunuasi "" mixer u shigongo... mtoa mada bado yupo usingizini " akishamaliza kuota hicho anachokiota "" atakuja kujicheka yeye mwenyewe
Mkuu ina maana huamini au unataka picha ya pamoja
 
Aiseee wew jamaa nenda tuu kwa Eric shingongo unakipaji cha kutunga story
 
Wanaume hua hatufanyi kiss and tell.

Kulikua hakuna haja ya uzi huu.

Nimesahau kumbe umetokea pande zile
Mkuu nimeamua kuleta mrejesho baada ya kuingia humu nikaona wanamemba wanahitaji mrejesho pia wengine wakiandika breaking news akutwa amekufa,wengine jamaa sasa hivi atakuwa mochwari,nimeamua kurudi na mrejesho bado ni mzima narejea kwangu now
 
Hongera japo ungeendelea kumpa dozi week nzima hii ndo heshima ya mwanaume wa mkoani.
 
Back
Top Bottom