Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

Mkuu nimeamua kuleta mrejesho baada ya kuingia humu nikaona wanamemba wanahitaji mrejesho pia wengine wakiandika breaking news akutwa amekufa,wengine jamaa sasa hivi atakuwa mochwari,nimeamua kurudi na mrejesho bado ni mzima narejea kwangu now
Kama kawaida mzee. Akija mkoani kwako tupe tena mrejesho
 
Hongera japo ungeendelea kumpa dozi week nzima hii ndo heshima ya mwanaume wa mkoani.
Wanawake wanaenda kulima nyinyi mpo vilabuni mnasubiri warudi mfanye mchezo mbaya. Fanyeni kazi mtaendelea kua nyuma kuchangia pato la Taifa hadi lini?

Na Magufuli kasema safari hii hagawi chakula
 
Siku nyingine ukiwa unasafiri chukua vitu vyako muhimu sio unasafiri huna hata mafuta ya kupaka!!

Basi lilifika saa 4:30 usiku,baada ya nusu saa mkafika kwake,yaani mlifika ikiwa saa 5:00 akaenda kukupikia chakula jikoni usiku huo huo! ukala chakula,kisha mkapiga story mbili tatu,halafu ukaenda kuoga,saa 12 asubuhi unasikia mlango unagongwa! Aisee!
 
...Muda wa SAA 4:30 usiku nilifika stendi kuu ya mabasi Ubungo...... Baada ya nusu SAA tulifika kwake (kama mlitumia dk 30 kufika kwake kutokea UBT, kwa mida hiyo barabara za DSM huwa tupu... huyo singomaza atakuwa anaishi Kibiti!)........Muda mchache akaingia jikoni akapika baada ya muda akawa ameleta chakula (huyu singomaza anapika baada ya Mgeni kufika... atakuwa kakupikia daku daku0)

Kwa maisha ya usasa, tena Dsm, kama sio chai basi huyo singomaza ana moyo wa Masia! Anampokea ambae hawajawahi kumeet, anamlaza home kwake pasi na tahadhari yoyote!
 
kwahiyo na wewe una amini hizi abunuasi "" mixer u shigongo... mtoa mada bado yupo usingizini " akishamaliza kuota hicho anachokiota "" atakuja kujicheka yeye mwenyewe
Mkuu.
Siwezi nikathibitisha kama ni ukweli au uongo kwani yeye ndio anajua. Yawezekana ni kweli au uongo ila mm hayanihusu atajijua mwenyewe aliyeleta mada
 
Mkuu hii hadithi yako imekaa poa sana! Jipange tu kuendeleza kipaji!
 
Kumbe Wa Mkoani Ndio Maana Umetuandikia Ushamba Wako
Wanaume Wa Dar Hatunaga Huo Ushoga
 
Siku nyingine ukiwa unasafiri chukua vitu vyako muhimu sio unasafiri huna hata mafuta ya kupaka!!

Basi lilifika saa 4:30 usiku,baada ya nusu saa mkafika kwake,yaani mlifika ikiwa saa 5:00 akaenda kukupikia chakula jikoni usiku huo huo! ukala chakula,kisha mkapiga story mbili tatu,halafu ukaenda kuoga,saa 12 asubuhi unasikia mlango unagongwa! Aisee!
Hahhahaha,hata nimecheka sana,nini kigeni hapo mkuu
 
Hakika uli jilipua mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom