Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu



Nadhani umejimix...mie sijamsema mtu tapeli...! Nioneshe wapi nimesema Kuna utapeli ..kila la heri mkuu...! ..
 
Nadhani umejimix...mie sijamsema mtu tapeli...! Nioneshe wapi nimesema Kuna utapeli ..kila la heri mkuu...! ..
Haukufafanua hiyo hatari mheshimiwa.
Na ukasema maisha yangekuwa rahisi watu wangehamia Geita.
Hapo mkuu umetoa tahadhari ya kukatisha tamaa kuliko kujenga.
Atleast basi ungeenda kuisoma hiyo mashine mtandaoni ulete shortcomings zake.

Binafsi namshukuru ndama kwa kuonyesha part ya biashara ya dhahabu ambayo kidogo hauwi katika risk kubwa ya operation costs n.k

Nchi ina dhahabu nyingi hii.Sasa wazawa kama tunaendelea kubaki nyuma inakuwa aibu,kila siku tubaki kuuza nguo reja reja,nyanya,sijui kuwa bank teller access/crdb...

Mara mashine za popcorn.....halafu hizi deal muhimu pia tunazipita kushoto,sio poa.
 
Mkuu Wangari Maathai, umefanya vema kutoa tahadhari kwani kivyovyote hii ni mitandao ya kijamii, hupaswi kumuamini MTU akiomba umtumie pesa! Tatizo la ukosoaji wako ni kuwa unawapa tahadhari watu wawe makini juu ya nini! Kuna mtu ameombwa pesa? Au unaweza kuonyesha sehemu inayoashiria ulaghai kwenye Uzi huu?

Jibu ni kwamba watanzania tumekuwa much knows wa kupindukia hata kwenye hamna!

Labda nikujulishe tu kuwa Uzi huu nilianzisha mimi mwenyewe link ipo hapo juu, nilifurahi kuona uzi umekuwa mkubwa, lengo lilikuwa kupatiwa msaada na wazoefu juu ya biashara ya dhahabu. Cha kushangaza siyo tu mimi niliyefaidika na uzi huu, wapo wengi walijifunza mengi na huenda saivi wanayafanyia kazi.

Nilichogundua kupitia ushuhuda huu ni kuwa, watanzania tulio wengi hatuamini mtu kufanikiwa kupitia biashara fulani. Zaidi tumezoea kuona mtu alianza biashara akaanguka. Ila akija anayetoa ushuda wa kufanikiwa tunamwona kama tapeli! This is shame on us!

Mimi nimeanza biashara hii, saiv July hii naenda mwezi wa pili, maendeleo ni mazuri guys you can't believe. Mimi sijakushikia panga uniamini, ila ninachokifanya ni kuwafunulia watu wengine fursa wajitose kwenye ulingo huu wa biashara za madini.

Namshukuru memba ndama dume amekujibu ipasavyo. He is correct, na nilichoelewa yeye anaweza kuwa ni kada mzoefu wa hii biashara.

Chondechonde, tusikatishe wengine tamaa, Wewe kama unahisi kuna utapeli unakausha, tena uzuri hakuna mtu ameombwa afanye hii biashara, ila kama jukwaa tuna share kile tunachokutana nacho huko masiloni! Mwisho tu niseme hii ni mitandao, hivyo hupaswi kumwamini mtu yeyote!

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119]! Hatari Sana!..huu Uzi muwe makini jamani
 

Yaani wewe naye una shida...hebu soma toka of ya 1 had last comment...! Nadhan humu Kuna mmoja tu ndo alinielewa...! Mbona mie nimechangia vzr tu. Kwani we unalalamika Nini hapa??

Kaa kimya fanya biashara zako mkuu...mie sijakukosoa auww umehis wapi nimekusema!!..hebu fanya yako mkuu kuwa na amani!...kila mtu afanye kazi usitafite pakuangukia....! Yaan we ndo umevamia mada hata huelewi niliandika nn....! Mwenzako siko hivyo..bye
 
Una shida sana we dem
 
Namba elimu wadau, nimeona gold detector zinauzwa pia AliExpress Bei kuanza laki mbili. Kwenye maelezo unakuta zinapima mpaka 25m. Je hizi za Bei ndogo hazifanyi kazi Kama hizo za million 15? Tatizo lake ni Nini?
 
Namba elimu wadau, nimeona gold detector zinauzwa pia AliExpress Bei kuanza laki mbili. Kwenye maelezo unakuta zinapima mpaka 25m. Je hizi za Bei ndogo hazifanyi kazi Kama hizo za million 15? Tatizo lake ni Nini?View attachment 1501533
Mkuu najuwa unamfahamu vizuri mchina, hii haina uwezo huo ndugu zaidi sana itakuwa inakamata mawe tu kwa sababu kuna zile gold detector ndogo tu ambazo zinauwezo kupima depth 25cm had 1m nazo bado bei yake haipungui 4m sasa huoni kuwa hii wanadanganya kabisa.

Alafu hii sio digital kama zile ninazozitaka mimi ile inakuchorea hadi mwamba jinsi ulivyolala na hizo bei zake ndio ghali sana japo siku nikimiliki basi tutakuwa na hesabu nyingine
 
Mkuu hizo mashine ni famba!
Utatapeliwa kwa kiu yako ya kuwa bilionea.
 
Namba elimu wadau, nimeona gold detector zinauzwa pia AliExpress Bei kuanza laki mbili. Kwenye maelezo unakuta zinapima mpaka 25m. Je hizi za Bei ndogo hazifanyi kazi Kama hizo za million 15? Tatizo lake ni Nini?View attachment 1501533
Mm ninavyo fikiri hiyo ya million 25 ni ya migodi mikubwa ambayo inatuma usumaku mbali na uso wa dunia lakini Kama ni jirani tu hiyo ya laki tatu inafaa
 
Nimefanya utafiti mkuu naelewa ninachokisema
Imani yako inaenda kukuliza soon.
Hayo ni makopokopo tu yameunganishwa na vi circuit vya electronics mfano wa calculator.

Kutoka kwenye 9v vina transmit wave weak ku detect hata pete ya dhahabu mkononi achilia mbali chini ya ardhi kunakohitaji strong waves kutoka kwenye high current device.

Mungu akusaidie uelewe nilichokwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…