Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Nimemkumbuka Infantry SoldierHongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemkumbuka Infantry SoldierHongera sana
Unajifanya lijuaaaji kila mahali.Nadhani umejimix...mie sijamsema mtu tapeli...! Nioneshe wapi nimesema Kuna utapeli ..kila la heri mkuu...! ..
Ndama dume, hiyo ya huyo jamaa hapo kigogo ni aina gani!? Nina interest na hii biashara sana na kamtaji ninako!Machine hii inauzwa kati milion 14 hadi 15 inategemea na inatoka nchi gani japo zipo ndogo 8m had 10m pia.
Machine hii kazi yake kubwa ni kudetect mahali ilipo dhahabu na kutoa mchoro wa 3d kama ambavyo geologist huwa wanaichora so ukiwa na hii machine utamaliza kila kitu, lakini pia utachimba mahali ambako tayri unauhakika na mali iko umbali gani na kuna mwamba wa aina gani au maji yapo ya ujazo upi na mali ipo ya ukubwa gani.
Faida kubwa ya hii machine ukiwa nayo hata mtu anaemiliki costar hapa hafui dafu maana wachimbaji wadogo wataacha kwenda kwa waganga wa kienyeji tayari wewe utakuwa mganga wao hivyo kwa week kutengeneza 5m sio shida kwa kuwapimia maeneo ya kuchimbia.
Faida nyingine wewe mwenyewe ukiwa na hii machine na unajuwa kuitumia ipasavyo na ukaunda kikundi cha kuchimba baada kupima hapa nahisi baada miezi leizer atakuja kukusalimia.
Mfano kigogo kuna jamaa ana machine moja ina uwezo wa kupima kwenda chini 1m tu lakini kwa mwezi hakosi 4m na kuendelea je hiyo ya 50m kwenda chini na mapana inapima 3000m huoni kuwa hapa hii italipa zaidi lakini bado itafanya vitu vingi kitaalamu.
Karibu sana kwa mtu yeyote mwenye mtaji sitaki hela ila naitaka hiyo machine tu kanunue mwenyewe uje nayo utakuja useme kwa nini nilichelewa namna hii
We Ndama dume uko wapi yaani machimbo yapi hapa nchini!?View attachment 1497207View attachment 1497208
Walio wengi wachimbaji wadogo wenye vipato kidgo ndio wanasumbua na hiyo machine hapo juu na wanapiga hela sana je kwa machine kubwa kama ile itakuwa balaaa
Kaza buti na sasa ni muda muafaka kuleta mrejesho tangu hiyo July 2020! Sema na wewe usomeke!Nimesoma nimeelewa sasa nasema hivi hakuna chochote kitakachonizuia nisifanye biashara ya madini iwe kwa kununua mawe, kununua dhahabu au vyovyote ilimradi ni ishu ya dhahabu naenda kufanya na hiyo mitaji mnayoisema ya 5m au 10m mi sina na ntatoboa tu na laki 4 zangu.
Nitarudi kutoa shuhuda hapa hapa!
Gari Kama hizo mgodi mpya utapifa Sana hela..mgodi ulopoa wengi wanatumia pikipiki..Bajaj succeed.etc!
Kama una 10m nunua kalasha kwa 4m,
Kodisha mwalo kwa 300k@yr.
Hela inayobaki Anza kufukizia kifusi..means nunua mawe yenye sample nzuri za dhahabu...ukitumia 4m uhakika wa kuuza 8-12m ni 95%kama kitasoma ppm nzuri...mfano kisome ppm 4-5! Hyo hela ni kugusa. Kama kitasoma 6-7 peleka mwenyew plant ukaozeshe.. hapa hukos grams za ? Naomba ufafanuzi.
Mimi nina maswali mengi sana, nimekuwa nawauliza wote walioko migodini; na nazidi kuuliza mpaka kieleweke. Kwanza ni kuhusu hicho kipimo cha "ppm", ni nini? Nadhani kitakuwa kina pima wingi au uwepo wa dhahabu kutoka kwenye kitu fulani, ujazo fulani! Sasa ujazo huo ni nini -DUMU, KIROBA AU KUTOKA KWENYE NINI? Halafu hizi bei za KARASHA, mbona zinatofautiana sana, Chunya wana zao na Geita au Kahama wana zao au ni kufuatana na UWEZO WA UJAZO WAKE? Karasha la 4mi/= lina tofauti kiujazo/uwezo na lile la 8mi/=? Kwani hapo juu Wangari anasema "hiyo 4m/= ni mfuko mmoja kusaga"! Nasubiri ELIMU!Gari Kama hizo mgodi mpya utapifa Sana hela..mgodi ulopoa wengi wanatumia pikipiki..Bajaj succeed.etc!
Kama una 10m nunua kalasha kwa 4m,
Kodisha mwalo kwa 300k@yr.
Hela inayobaki Anza kufukizia kifusi..means nunua mawe yenye sample nzuri za dhahabu...ukitumia 4m uhakika wa kuuza 8-12m ni 95%kama kitasoma ppm nzuri...mfano kisome ppm 4-5! Hyo hela ni kugusa. Kama kitasoma 6-7 peleka mwenyew plant ukaozeshe.. hapa hukos grams za kutosha. ..mradi kifusi kiwe kikubwa..yasipungue Fao 5
kwa kalasha la hiyo 4m ni mfuko mmjo kusaga..kazi inaweza kwenda had 3mths...! Au pungufu ya hapo...!
Hata Wajerumani wanazo zao na Wamarekani wanazo zao - je wao nao ni MATAPELI!? Mbona mna nongwa sana na Wachina jamani?Dhahabu vingepatikana kwa kupitia vifaa hivi,basi GGM kule Geita angemaliza dhahabu yote iliyopo Geita. Drilling ndio mwisho wa matatizo. Haya mengine ni utapeli tu wa kichina
😂😂😂😂😂😂Nadhani umejimix...mie sijamsema mtu tapeli...! Nioneshe wapi nimesema Kuna utapeli ..kila la heri mkuu...! ..
Machine hii inauzwa kati milion 14 hadi 15 inategemea na inatoka nchi gani japo zipo ndogo 8m had 10m pia.
Machine hii kazi yake kubwa ni kudetect mahali ilipo dhahabu na kutoa mchoro wa 3d kama ambavyo geologist huwa wanaichora so ukiwa na hii machine utamaliza kila kitu, lakini pia utachimba mahali ambako tayri unauhakika na mali iko umbali gani na kuna mwamba wa aina gani au maji yapo ya ujazo upi na mali ipo ya ukubwa gani.
Faida kubwa ya hii machine ukiwa nayo hata mtu anaemiliki costar hapa hafui dafu maana wachimbaji wadogo wataacha kwenda kwa waganga wa kienyeji tayari wewe utakuwa mganga wao hivyo kwa week kutengeneza 5m sio shida kwa kuwapimia maeneo ya kuchimbia.
Faida nyingine wewe mwenyewe ukiwa na hii machine na unajuwa kuitumia ipasavyo na ukaunda kikundi cha kuchimba baada kupima hapa nahisi baada miezi leizer atakuja kukusalimia.
Mfano kigogo kuna jamaa ana machine moja ina uwezo wa kupima kwenda chini 1m tu lakini kwa mwezi hakosi 4m na kuendelea je hiyo ya 50m kwenda chini na mapana inapima 3000m huoni kuwa hapa hii italipa zaidi lakini bado itafanya vitu vingi kitaalamu.
Karibu sana kwa mtu yeyote mwenye mtaji sitaki hela ila naitaka hiyo machine tu kanunue mwenyewe uje nayo utakuja useme kwa nini nilichelewa namna hii
Ipo alileta , ingia kwenye ukurasa wakeTumeambiwa mwezi wa 12 tunaretewa feedback, huu ni mwezi march [emoji1787][emoji1787] dahh wabongo bwana
Ipo alileta , ingia kwenye ukurasa wake
Nakuambia ukurasa wake unauliza ukurasa upi, ni ukurasa wake na yeyeUkurasa upi?
Mkuu ulifanikiwa kumpata mtu wa kununua mashine kama iyo?Machine hii inauzwa kati milion 14 hadi 15 inategemea na inatoka nchi gani japo zipo ndogo 8m had 10m pia.
Machine hii kazi yake kubwa ni kudetect mahali ilipo dhahabu na kutoa mchoro wa 3d kama ambavyo geologist huwa wanaichora so ukiwa na hii machine utamaliza kila kitu, lakini pia utachimba mahali ambako tayri unauhakika na mali iko umbali gani na kuna mwamba wa aina gani au maji yapo ya ujazo upi na mali ipo ya ukubwa gani.
Faida kubwa ya hii machine ukiwa nayo hata mtu anaemiliki costar hapa hafui dafu maana wachimbaji wadogo wataacha kwenda kwa waganga wa kienyeji tayari wewe utakuwa mganga wao hivyo kwa week kutengeneza 5m sio shida kwa kuwapimia maeneo ya kuchimbia.
Faida nyingine wewe mwenyewe ukiwa na hii machine na unajuwa kuitumia ipasavyo na ukaunda kikundi cha kuchimba baada kupima hapa nahisi baada miezi leizer atakuja kukusalimia.
Mfano kigogo kuna jamaa ana machine moja ina uwezo wa kupima kwenda chini 1m tu lakini kwa mwezi hakosi 4m na kuendelea je hiyo ya 50m kwenda chini na mapana inapima 3000m huoni kuwa hapa hii italipa zaidi lakini bado itafanya vitu vingi kitaalamu.
Karibu sana kwa mtu yeyote mwenye mtaji sitaki hela ila naitaka hiyo machine tu kanunue mwenyewe uje nayo utakuja useme kwa nini nilichelewa namna hii
Kudili na watu ni kazi kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3]! Hakuna jamii ngumu kuishi nayo Kama ya jf . ..uwe mwema tabu .uwe roho ya korosho tabu. ! Ila kiuhalisia. Ni 1% ya watanzania wanaotaka kupata info za biashara yoyote Ile na watatimiza ahadi zao...! Wengi wetu sisi mradi kuche! Mtu itajitoa were kuielezea lakini am sure 2025 hakuna atayesema mie hii habari nilifuatilia nimeanza na nimefika hapa!tantalila kibao!
Hongera sana brother unatuinspire sanaHabari za mda huu mabilionea wa sasa na wajao. Tumaini langu mnaendelea vema na harakati za kutimiza ndoto zenu.
Ni kama mwezi nilikuja kuomba msaada kwa wajasiliamali wenzangu juu ya biashara ya dhahabu. Nishukuru watu walitoa uzoefu wao, wapo walionitaadhalisha juu ya songombingo zilizopo kwenye biashara hiyo.
Wa kukatisha tamaa hawakosekani nao hawakuwa haba, ila tu nishukuru wapo memba walonitia moyo kwa kunishauri nini hasa nikifanye nikiwa mgeni kwenye kada hii ya madini.
Kwa sababu mtaji wangu ulikuwa around 5ml, niliamua kuanza na million 2 kwanza ili niusome upepo nikiwa najifunza. Kusema ukweli katika kipindi cha mwezi mmoja kuanzia nilipoanza hali ya kibiashara siyo mbaya.
Nimeweza kuisogeza milion 2 hadi 3 ndani ya mwezi. Hivyo nimepata faida ya million moja. Hii ni hatua nzuri kwangu kwa siku za mwanzo.
Pamoja na hayo tahadhar mimeweza kuichukua na naendelea kuichukua. Nimejiwekea sheria sinunui mawe, bali nanunu dhahabu iliyochomwa na kui-grade, hivyo probability ya kupoteza hela ni ndogo.
Changamoto pia nakutana nazo kama kupungua sana uzito ukipeleka jikoni kuyeyusha, asilimia ya dhahabu kusoma chini na wachimbaji wanaokuja kuchukua advance kisha wanapotea mazima hivyo hela kupotea.
Karibuni mabroker wenzangu tu share ups and down za hii biashara.
Biashara ya madini ya dhahabu.