Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

Kama ni makopokopo , ambayo wewe unaona sio makopokopo ni mashine zipi kama kweli una nia nzuri ya kuwaelemisha watu zitaje hapa
Mpuuzi huyo Mkuu, achana naye tu.
 
Imani yako inaenda kukuliza soon.
Hayo ni makopokopo tu yameunganishwa na vi circuit vya electronics mfano wa calculator.

Kutoka kwenye 9v vina transmit wave weak ku detect hata pete ya dhahabu mkononi achilia mbali chini ya ardhi kunakohitaji strong waves kutoka kwenye high current device.

Mungu akusaidie uelewe nilichokwambia.
Tupe mapendekezo ya mbadala wake sasa, tununue zipi ambazo ndio zitafaa?
 
sasa mkuu mbona hii mashine inapima only 50 metres kwenda chini tu? hakuna mashine zinazocheki zaidi ya umbali huo..naona mita 50 kidogo sana
Hiyo ni kianzio na ni kubwa sana kwa mazingira ya kichimbaji dhahabu nyingi sana huanzia kupatikana 3m sasa huoni kuwa hiyo ni kubwa.
 
Kun
Kunaulazima wa kuuza kwa dealers hao wenye majiko. Je ukitaka uza kwengine utaratibu upoje?
Inategemea na leseni uliyokata. Ukiwa blocker ambayo ndo leseni ya chini huruhusiwi kusafirisha dhahabu nje ya mkoa. Ila ukikata ya u dealer hapo unasafirisha adi nje ya nchi sema hii ya pili kupewa uwe na mtaji mkubwa!
 
acha walizwe, pesa si za kwao iweje mnaumia..by the way hakuna jambo lisilokua na risk duniani, halipo, na as a business person kama huwezi au unaogopa kutake risk katika maisha ya kutafuta pesa au kibiashara basi nakuhakikishia you will remain EXTREMELY POOR for the rest of your bloody hell life until in your grave. utabaki sanasana kufanya biashara za uchuuzi. ambazo you cant even rithi kwa watoto wako.
🤸
 
Hakuna asiyejua kuwa kuwa risk zipo kwenye biashara yoyote. Na hakuna aliyesema ku-take risk ni vibaya. Watu wanazungumzia ule ujinga wa mtu kwenda kichwa kichwa bila kuchambua mbivu na mbichi. Dunia ya leo imejaa watu laghai na hawana huruma yoyote kwa namna yoyote. Kuambia watu wawe makini siyo vibaya.

Mtu yeyote anayewasilisha chochote kwenye forum kama hii anakuwa ametowa idhini kile alichowasilisha kichambuliwe na kila mmoja awe huru kutoa mawazo yake. Huwezi kusema eti ''acha walizwe pesa si zako iweje unaumia''. Hapa ni kijiwe cha kuchambua mbivu na mbichi. Lolote linalowasilishwa ni lazima lipimwe na kutolewa mawazo.

Unapoona member anayeleta wazo lolote la biashara yenye faida nzuri sana ''ili eti members wengine wafaidike'' ni lazima tuchuje ukweli isijekuwa kama wale waganga wa kienyeji unaokuta ni mafukara wa kutupwa lakini ''wanamiliki madawa yenye nguvu kubwa'' ya kufanya wengine wawe matajiri.
 
Hakuna asiyejua kuwa kuwa risk zipo kwenye biashara yoyote. Na hakuna aliyesema ku-take risk ni vibaya. Watu wanazungumzia ule ujinga wa mtu kwenda kichwa kichwa bila kuchambua mbivu na mbichi. Dunia ya leo imejaa watu laghai na hawana huruma yoyote kwa namna yoyote. Kuambia watu wawe makini siyo vibaya. Mtu yeyote anayewasilisha chochote kwenye forum kama hii anakuwa ametowa idhini kile alichowasilisha kichambuliwe na kila mmoja awe huru kutoa mawazo yake. Huwezi kusema eti ''acha walizwe pesa si zako iweje unaumia''. Hapa ni kijiwe cha kuchambua mbivu na mbichi. Lolote linalowasilishwa ni lazima lipimwe na kutolewa mawazo. Unapoona member anayeleta wazo lolote la biashara yenye faida nzuri sana ''ili eti members wengine wafaidike'' ni lazima tuchuje ukweli isijekuwa kama wale waganga wa kienyeji unaokuta ni mafukara wa kutupwa lakini ''wanamiliki madawa yenye nguvu kubwa'' ya kufanya wengine wawe matajiri.

😀😀😀! Hakuna jamii ngumu kuishi nayo Kama ya jf . ..uwe mwema tabu .uwe roho ya korosho tabu. ! Ila kiuhalisia. Ni 1% ya watanzania wanaotaka kupata info za biashara yoyote Ile na watatimiza ahadi zao...! Wengi wetu sisi mradi kuche! Mtu itajitoa were kuielezea lakini am sure 2025 hakuna atayesema mie hii habari nilifuatilia nimeanza na nimefika hapa!tantalila kibao!
 
Je ukiwa Gari yako Land Cruiser ukawa una uhakika wa kuingia migodini na kurydi bongo chap na mtaji wa M10 unaweza deal na niniii kulingana na mkoko wako na connection ya huko Migodini...?
 
Je ukiwa Gari yako Land Cruiser ukawa una uhakika wa kuingia migodini na kurydi bongo chap na mtaji wa M10 unaweza deal na niniii kulingana na mkoko wako na connection ya huko Migodini...?

Gari Kama hizo mgodi mpya utapifa Sana hela..mgodi ulopoa wengi wanatumia pikipiki..Bajaj succeed.etc!
Kama una 10m nunua kalasha kwa 4m,
Kodisha mwalo kwa 300k@yr.
Hela inayobaki Anza kufukizia kifusi..means nunua mawe yenye sample nzuri za dhahabu...ukitumia 4m uhakika wa kuuza 8-12m ni 95%kama kitasoma ppm nzuri...mfano kisome ppm 4-5! Hyo hela ni kugusa. Kama kitasoma 6-7 peleka mwenyew plant ukaozeshe.. hapa hukos grams za kutosha. ..mradi kifusi kiwe kikubwa..yasipungue Fao 5
kwa kalasha la hiyo 4m ni mfuko mmjo kusaga..kazi inaweza kwenda had 3mths...! Au pungufu ya hapo...!
 
Oooh nzurii broo sema mi nina ka ajira haka siwezi kukaachia kwa fasta lakini naweza kuwa na mtaji kama huo nikawa naweza fika huko chimbo na kugeuka ndio nacho maanisha

Usimwamini mtu mkuu..iweke bank Bora...ukimkabidhi mtu atanunua mawe reject...unaishia kuipoteza hela tu!..Kama unaenda nenda kusurvey tu kujua abc. .!
Mie ni -ke-
 
Je ukiwa Gari yako Land Cruiser ukawa una uhakika wa kuingia migodini na kurydi bongo chap na mtaji wa M10 unaweza deal na niniii kulingana na mkoko wako na connection ya huko Migodini...?
Sasa hivi unaweza kupeleka gari yako sasa huko Ulanga.
 
Back
Top Bottom