Wewe mkuu ninaimani ipo siku tutakutana sababu nilifuatilia post zako nyingi nikaona una uzoefu wa biashara ya dhahabu kwa muda mrefu. Hope siku moja tutaonana live tubadilishane uzoefu.Hatuthubutu....hapa kuna watu wako busy kufukua mafaili ya mtoa mada[emoji3]! Wamuumbue roho zitulie
Chief umenena kisawasawaHongera boss.
Ila sisi vijana huwez kutuona kwenye thread kama hizi, ila za mateso mtu anayopitia ndipo utakukuta huko, au tuliyempekua tukakuta sintofahamu( utapeli) ndio utatukuta huko, pengine hapa tumekupekua thread zote na comment zako zote humu tukakuta hauna chembe ya utapeli, kwahio huwez kutuona wengi ndio mana unaona ndani ya masaa 17 kuna comment 5 tu.
Ila naamini ume inspire wale wenye mlengo wa kuingia huko kwenye dhahabu.
Wangari Maathai umeona hii?
Inshallah mkuu..mie niko based zaidi machimbo ya Geita! Ingawa kwa sasa nachungulia chungulia tu chimbo lililopuka...!Wewe mkuu ninaimani ipo siku tutakutana sababu nilifuatilia post zako nyingi nikaona una uzoefu wa biashara ya dhahabu kwa muda mrefu. Hope siku moja tutaonana live tubadilishane uzoefu.
Kuna jamaa yangu yupo hapo kwa miaka 3 tu tangu aingie hapo amepiga pesa hatari.Nipo chunya mkuu
Machimboni mkuu biashara zinazotembea Sana ni pombe na migahawa. Wachimbaji Wana kanuni ya kutumia pesa yote aliyopata siku hiyo kwenye vilevi na wanawake...Hongera sana mkuu mm n mpambanaji mwenye mtaji mdogo tu ila najitahid kusafir hapa napale na biashara pia nanunua mazao Kama ufuta korosho sometimes mahind
Je nataka kujua boss kwa mtu Kama mm ambaye nataka kufanikiwa pia nilete biashara gan hapo chunya machimbon ambayo inaujitaj Sana kwa wachimbaj na wanunuz kama nyie ?
Naomba Sana mkuu nijibu hili nijue najipangaje
Haujapata habari zozote kuhusu chimbo lililolipuka bariadi?Inshallah mkuu..mie niko based zaidi machimbo ya Geita! Ingawa kwa sasa nachungulia chungulia tu chimbo lililopuka...!
Nimeliskia...sijafatilia .hizi.mvua kazi huwa haziendi poaHaujapata habari zozote kuhusu chimbo lililolipuka bariadi?
Iko ivii mkuu angalau ukiwa na milioni nne utaanza vizuri, ila mda mwingine inategemea na sehemu unaponunuliaHongera sana mkuu kwa Biashara ya Madina minimum kwa kuanzia mtaji ni kama kiasi gani,Na je changamoto kwa beginner mara nyingi huwa ni nini.
Shukran mkuu. Je kwa mtu ambaye hana hufaham wowote na mambo ya Madini na anataka kufanya biashara unamshauri kitugani Cha kuzingatia.Iko ivii mkuu angalau ukiwa na milioni nne utaanza vizuri, ila mda mwingine inategemea na sehemu unaponunulia
Asante kwa majibu mujarab chiefMachimboni mkuu biashara zinazotembea Sana ni pombe na migahawa. Wachimbaji Wana kanuni ya kutumia pesa yote aliyopata siku hiyo kwenye vilevi na wanawake...
Nguo pia zinatembea ziwe za dukani au mitumba, hasa mitishet na majins. Pia zipo biashara ndogondogo kama kutembeza tikiti.
Tikiti ni Bonge la biashara mkuu maana wewe unanunua jumla ukifika mgodini unakuwa unakata vipande angalau nane na kimoja unauza miatano.
Faida unaweza lingana na mtaji na yanaenda sana kwa jua kali, hivyo unaweza jikuta kila baada ya siku tatu unashusha mzigo.
Mkuu biashara zipo lukuki Kama magenge ya kuuza mbogamboga na matunda. Fanya utembelee ili upate exposure zaidi mkuu.