Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

Panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan......

Binafsi umenipa hamasa ya kuendelea kupambana na changamoto nazopitia kwenye fursa niliyochagua Mungu akubariki na uendelew ku share
 
Hongera sana Mkuu wa Chunya pamoja na Wangari Maathai, mimi naomba kuuliza swali kuhusu hii biashara ya bloker. Katika biashara hii ya madini, bloker ni nani na ananunua madini kwa wachimbaji wadogo migodini na kwenda kuuza kwenye masoko ya madini yaliyoanzishwa/kujengwa na serikali au kwa masonara au mahali popote anapoona panafaa? Na ni utaratibu gani unahusika kwa bloker anapotaka kusafirisha madini yake nje ya mkoa yalikochimbwa au hata nje ya nchi? Pia bei za madini (dhahabu) kwa gram 1 inakuaje huko anakonunua na anauza kwa kiasi gani?
Naomba msaada wenu wakuu, lakini pia samahani ikiwa mlishawahi kutoa majibu ya maswali haya.
 
Mkuu hairuhusiwi kuuza madini nje ya mkoa hadi uwe na vibali..hao broker ndo hao hao wanunua dhahabu...! Lakini inategemea na akili yako na usmart wako tu mkuu kusafirisha..Kenya soko ni zuri zaidi .kama unaweza tambaa na maji usk mzima unaibukia huko unauza...ila ni risk unapokonywa na hupat ng'o!
Sheria zimewekwa ili zivunjwe😜!
 
Panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan......

Bila kuwachosha ni kuwa tangu nimeianza safari yangu ya kibiashara nimekuwa nikiwashirikisha hatua ninazopitia, ups and
Mkuu naomba namba yako tuwasiliane nahitaji kujua in and out ya biashara hii namba yangu ni 0693389482 nashukiru saaana
 
Mkuu hairuhusiwi kuuza madini nje ya mkoa hadi uwe na vibali..hao broker ndo hao hao wanunua dhahabu...! Lakini inategemea na akili yako na usmart wako tu mkuu kusafirisha..Kenya soko ni zuri zaidi .kama unaweza tambaa na maji usk mzima unaibukia huko unauza...ila ni risk unapokonywa na hupat ng'o!
Sheria zimewekwa ili zivunjwe😜!
Kwahiyo Mkuu broker anaruhusiwa kusafirisha nje ya Mkoa? Maana kama Kenya kuna soko zuri Mkuu si ni bora utafute vibali ili ukauze kihalali wasije wakakukamata na ukakosa vyote
 
Hongera sana mkuu. Mimi nimefungua kampuni itakayohusu masuala ya madini mkuu. Leo nilikuwa nafuatilia leseni kama 3 hivi, leseni ya Kuuza madini, leseni ya kuchimba na kuagiza vifaa vya uchimbaji madini toka nje ya nchi.
 
Mkuu hebu tusaidie kidogo uelewa kuhusu hizo leseni, upatikanaji wake, gharama, na leseni ipi inadeal na nini
 
Hongera boss.

Ila sisi vijana huwez kutuona kwenye thread kama hizi, ila za mateso mtu anayopitia ndipo utakukuta huko, au tuliyempekua tukakuta sintofahamu( utapeli) ndio utatukuta huko, pengine hapa tumekupekua thread zote na comment zako zote humu tukakuta hauna chembe ya utapeli, kwahio huwez kutuona wengi ndio mana unaona ndani ya masaa 17 kuna comment 5 tu.

Ila naamini ume inspire wale wenye mlengo wa kuingia huko kwenye dhahabu.

Wangari Maathai umeona hii?
Hv kuna umuhimu gan wa kutaka uzi kuwa na comments nyingi? So what? Hizo comments zinachangia nn mana angekua kapost swali tungesema comment znajibu hayo maswali but hapa hajauliza swali lolote. Think wisely
 
Hongera sana mkuu. Mimi nimefungua kampuni itakayohusu masuala ya madini mkuu. Leo nilikuwa nafuatilia leseni kama 3 hivi, leseni ya Kuuza madini, leseni ya kuchimba na kuagiza vifaa vya uchimbaji madini toka nje ya nchi.
Hapo kwenye leseni ya kuuza madini gharama zake zikoje, je hii leseni (tajwa) itakuruhusu kuuza nje ya nchi pia ?
 
Mkuu mcrounmj kwanini umeamua kupanua uwekezaji wako kwa kutaka kuchonga karasha ?

Kwa ufahamu na uzoefu wangu (mi ni mzaliwa wa Chunya) najua kwamba kuendesha karasha kuna risks kubwa kuliko biashara ya kununua dhahabu.

Kwanini usiongeze mtaji katika ununuzi wako au ukaamua kuomba leseni ya mnunuzi mkubwa (dealer) ?
 
Mkuu Wangari Maathai kwa ufahamu na uzoefu wako, mtaji wa milioni 40 unatosha kuanzia kusafirisha (kihalali) madini ya dhahabu kwenda nje ya nchi ?

Ukiacha UAE (Dubai) ni eneo gani jingine unashauri mtu akauze madini nje ya nchi ambako kuna soko la uhakika ?
 
Mkuu wengi walikua wanapeleka pia kenya wale wenye mitaji ya kati...
inatosha! Kata vibali ..!
 
Mkuu Wangari Maathai kwa ufahamu na uzoefu wako, mtaji wa milioni 40 unatosha kuanzia kusafirisha (kihalali) madini ya dhahabu kwenda nje ya nchi ?

Ukiacha UAE (Dubai) ni eneo gani jingine unashauri mtu akauze madini nje ya nchi ambako kuna soko la uhakika ?
Mil 40 ni mtaji wa jikoni, dealer (mara nyingi muhindi) anakuwa na watu hata 20 na zaidi anaowadhamini majikoni, kila mtu wa jikoni ana dealer wake maalum kama ilivyo kota ana mtu wake maalum jikoni, mtu akitoka elusion anachoma akipata kilo 4 anampigia dealer kuna 4kg au na zaidi dealer anamtumia 400m bank ndo mnalipwa baada ya siku 1 mpaka 3 ila kipindi mnasubiri huwa kuna vimilioni vya advance mnapewa. Kila mwezi dealer anatakiwa kuexport zaidi ya kilo 10 kwa mara moja ili iwe biashara.
Biashara ya dhahabu ni huyu anamkusanyia yule na faida ni ndogo sana tofauti na mnavyodanganyana, kawaida gram 1 faida ni sh 2000-3000, unakusanya dhahabu ya mil 4 ukienda jikoni kuchoma unapata faida isiyozidi elfu 50 au ukarudi na hasara ya malaki kama si mamilioni.
Kuna soko la kimataifa lipo Nairobi kwa ukanda huu
 
😀😀!
 
Back
Top Bottom