Faru Tobbi
Senior Member
- Oct 29, 2018
- 195
- 201
Binafsi umenipa hamasa ya kuendelea kupambana na changamoto nazopitia kwenye fursa niliyochagua Mungu akubariki na uendelew ku sharePanapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan......