Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

Nimeliskia...sijafatilia .hizi.mvua kazi huwa haziendi poa
Nilienda mwezi uliopita, hekaheka ni nyingi watu wanapiga pesa hasa wenye biashara za vyakula na sehemu za kulala. Kuhusu biashara yenyewe ni kama usemavyo, mambo yalikuwa bado hayajasettle vizuri.
 
Machimboni mkuu biashara zinazotembea Sana ni pombe na migahawa. Wachimbaji Wana kanuni ya kutumia pesa yote aliyopata siku hiyo kwenye vilevi na wanawake...

Nguo pia zinatembea ziwe za dukani au mitumba, hasa mitishet na majins. Pia zipo biashara ndogondogo kama kutembeza tikiti.

Tikiti ni Bonge la biashara mkuu maana wewe unanunua jumla ukifika mgodini unakuwa unakata vipande angalau nane na kimoja unauza miatano.

Faida unaweza lingana na mtaji na yanaenda sana kwa jua kali, hivyo unaweza jikuta kila baada ya siku tatu unashusha mzigo.

Mkuu biashara zipo lukuki Kama magenge ya kuuza mbogamboga na matunda. Fanya utembelee ili upate exposure zaidi mkuu.
Hapo kwenye matikiti nakubaliana na wewe
 
Wakuu napata napata msg nyingi pm. Labda niseme tu kuwa hii biashara ya madini ni kama biashara zingine. Ukiwa serious unatoboa na ukiifanyia masihara hela haichelewi kukata. Kama umehamasika na hii biashara nakushauri nenda sehemu za migodi kaanze kazi. Utakutana na wazoefu wa maeneo husika utajifunza toka kwao. Anza kidogo kidogo ukiwa unausoma mchezo.

Kitu kingine mimi naweza kukushauri kitu kwa mjibu wa mazingira yangu kumbe nimekulisha tangopori kwa mazingira utakayokuwepo. Mfano kuna mdau juzi aliuliza "ni mtaji wa kiasi gani unaweza kuanza nao".... Kwa mjibu wa uzoefu wangu na nature ya eneo nilishauli angalau milioni nne. Kumbe yapo maeneo ambayo hata mtaji wa laki tatu unatosha. Hii ni kwa mjibu wa mdau Wangari Maathai, nami nakubaliana naye!

Hivyo wakuu nawashauri tutembelee maeneo ya migodi tuliyonayo karibu. Wapo wanunuzi wa siku nyingi tuwatumie hao kupata taarifa sahihi kutegemeana na eneo. Tofauti na hivyo Mimi sitajibu pm wala kutoa namba maana kama ilivyo jamii forum imekuwa ni kichaka ambacho wapo twiga, Simba, mbweha, sungura, chatu, swala n.k n.k, itoshe tu kusema maswali tumalizie hapahapa

Cha mwisho, kwa wale tutakaofanikiwa kuianza hii biashara tujitahi kufuata sheria za nchi kwa kuepusha utoroshaji, kununulia kwenye masoko yanayotambuliwa na serikali, kuorodhesha kwenye daftari la kumbukumbu za manunuzi na mauzo ya dhahabu na kisha kuuza kwenye masoko yaliyo kwenye wilaya au mikoa na unabaki na list za mauzo. Lipa kodi uliyokadiliwa na tra. Hapo biashara utaiona tamu.

Cha
 
Niko zangu Dodoma nazichanga mkuu.... Kwa kuanzia pamoja na vibali natakiwa kuwa Kama na sh ngapi hivi....

Pia Sina utaalamu wowote wa madini Ila Niko interested kujifunza chochote kitachoweza kunitoa kimaisha
 
Wakuu napata napata msg nyingi pm. Labda niseme tu kuwa hii biashara ya madini ni kama biashara zingine. Ukiwa serious unatoboa na ukiifanyia masihara hela haichelewi kukata. Kama umehamasika na hii biashara nakushauri nenda sehemu za migodi kaanze kazi. Utakutana na wazoefu wa maeneo husika utajifunza toka kwao. Anza kidogo kidogo ukiwa unausoma mchezo.

Kitu kingine mimi naweza kukushauri kitu kwa mjibu wa mazingira yangu kumbe nimekulisha tangopori kwa mazingira utakayokuwepo. Mfano kuna mdau juzi aliuliza "ni mtaji wa kiasi gani unaweza kuanza nao".... Kwa mjibu wa uzoefu wangu na nature ya eneo nilishauli angalau milioni nne. Kumbe yapo maeneo ambayo hata mtaji wa laki tatu unatosha. Hii ni kwa mjibu wa mdau Wangari Maathai, nami nakubaliana naye!

Hivyo wakuu nawashauri tutembelee maeneo ya migodi tuliyonayo karibu. Wapo wanunuzi wa siku nyingi tuwatumie hao kupata taarifa sahihi kutegemeana na eneo. Tofauti na hivyo Mimi sitajibu pm wala kutoa namba maana kama ilivyo jamii forum imekuwa ni kichaka ambacho wapo twiga, Simba, mbweha, sungura, chatu, swala n.k n.k, itoshe tu kusema maswali tumalizie hapahapa

Cha mwisho, kwa wale tutakaofanikiwa kuianza hii biashara tujitahi kufuata sheria za nchi kwa kuepusha utoroshaji, kununulia kwenye masoko yanayotambuliwa na serikali, kuorodhesha kwenye daftari la kumbukumbu za manunuzi na mauzo ya dhahabu na kisha kuuza kwenye masoko yaliyo kwenye wilaya au mikoa na unabaki na list za mauzo. Lipa kodi uliyokadiliwa na tra. Hapo biashara utaiona tamu.

Cha
wengne tunazo home milioni ndio tunachanga tuongeze kumbe naweza anza nayo iyo ??? mcrounmj
 
wengne tunazo home milioni ndio tunachanga tuongeze kumbe naweza anza nayo iyo ??? mcrounmj
Cha msingi pesa itoshe kukata leseni na leseni ni kama laki nne au tano kutegemeana. Hapo kuna scale ya kugrade uzito wa dhahabu inauzwa laki mbili na nusu, jumla unakuwa kama laki saba hivyo, hujakarabati chumba, na vitu vingine vidogovidogo, almost milioni inaisha kwenye maandalizi. Guys usilogwe ukaanza kununua bila kukata leseni, kwenu watakusahau.

Wakikukamata ni uhujumu uchumi, hawana msamaha. Hapo Sasa ukikamilisha vibali anza na mtaji angalau wa milioni moja. Hapo utakuwa na uhakika wa kwenda sokoni angalau gram kumi na...

Chengine kama ndo unaanza nakushauri usinunue mawe au fero, utajuta na hiyo ndiyo kamali pure. Wewe ukiwa mgeni jikite kununua dhahabu iliyopembuliwa fullstop.
 
Cha msingi pesa itoshe kukata leseni na leseni ni kama laki nne au tano kutegemeana. Hapo kuna scale ya kugrade uzito wa dhahabu inauzwa laki mbili na nusu, jumla unakuwa kama laki saba hivyo, hujakarabati chumba, na vitu vingine vidogovidogo, almost milioni inaisha kwenye maandalizi. Guys usilogwe ukaanza kununua bila kukata leseni, kwenu watakusahau. Wakikukamata ni uhujumu uchumi, hawana msamaha. Hapo Sasa ukikamilisha vibali anza na mtaji angalau wa milioni moja. Hapo utakuwa na uhakika wa kwenda sokoni angalau gram kumi na...

Chengine kama ndo unaanza nakushauri usinunue mawe au fero, utajuta na hiyo ndiyo kamali pure. Wewe ukiwa mgeni jikite kununua dhahabu iliyopembuliwa fullstop.
OK inamana miloni 2 na nusu kwa kuanzia inafaa laki 7 kumalizia vibali nyingne mtaji we unauzia soko gani? mkuu kama utojali
 
Hongera boss.

Ila sisi vijana huwez kutuona kwenye thread kama hizi, ila za mateso mtu anayopitia ndipo utakukuta huko, au tuliyempekua tukakuta sintofahamu( utapeli) ndio utatukuta huko, pengine hapa tumekupekua thread zote na comment zako zote humu tukakuta hauna chembe ya utapeli, kwahio huwez kutuona wengi ndio mana unaona ndani ya masaa 17 kuna comment 5 tu.

Ila naamini ume inspire wale wenye mlengo wa kuingia huko kwenye dhahabu.

Wangari Maathai umeona hii?
Umesahau mstari mmoja "yule mzulu ana bonge la tako" hizo ndio thread prmendwa JF, siku mbili maoni hufika 100+.
 
Kuna shida sehemu....kuna shida kwenye jamii yetu.....
Tumelogwa!
Yani makalio makubwa huwa yanatupumbaza, na dada zetu siku hizi wamejua ugonjwa wetu, wanavaa matambara,wanadunga sindno kutumaliza.
Bahati mbaya hadi wazungu wameanza kuingia kwenye huu mtego wa makalio makubwa, huwaambii kitu kwa wadada wenye makalio makubwa.
 
Back
Top Bottom