Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

Hii hapa third season
 
Kuhusu vitendea kazi ni scale ya kupima uzito wa Dhahabu tu Basi. Kuhusu kuuziwa Dhahabu feki macho yataijua tu. Na saivi Dhahabu zinanunuliwa masokoni hivyo akileta mteja hautakuwa peke yako maana zipo ofisi nyingi hivyo unauliza wenzako
OK sawa na asante sana lakini humu madukani na mitandaoni, hizo scale za dhahabu zimejaa kama mchanga! Wewe una recommend ipi au aina gani ya uzito upi kwa wastani!?Natanguliza shukrani zangu, Msomi wangu!
 
JIKO NI NINI? Kwa nini linakuwa so EXPENSIVE Wangari!?
 
Uko deep sana
 
 
Mkuu, hebu zimwage hizo fursa aisee.
 
Kaka nimekuwa interested na hii comment mkuu. Hasa biashara hizi ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana ila zinazoweza kuleta super normal profit. Nitakucheki mkuu endapo mambo yangu yatakaa sawa kwenye issue ya mtaji ili tuone inakuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…