Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Hilo ndio kosa kubwa ambalo watu wanalifanya. Usiitegemee biashara ikawa ndio inaanza bali biashara ikutegemee wewe
Hili jambo ni gumu Kwa startup businessman wengi

Ukifatilia vizuri, business failures nyingi unaweza kukuta baadhi walitegemea biashara zao kuendesha maisha yao ya Kila Siku bila kuwa na cashbook record zao vizuri

Unakuta umekula hadi mtaji
 
Kule labda guesthouses and very cheap lodges. Mwambie asogee Mwanza hapo kuna uhaba mkubwa wa Lodges zenye viwango vya kuridhisha. Chache ziliizopo nyingi zimejaa muda wote.

Masasi, Tunduma kuna uhaba mkubwa wa Lodges zenye viwango ila ni sehemu zilizochangamka.
Maji changamoto Tunduma ukiweza kuwa na uhakika wa maji umemaliza
 
Back
Top Bottom