Niaje Wazeiyaaaaaaaaaaaaaaah...
EBANA SAWA:
Mnakumbuka majuzi hapa nilikuja kulalamika humu kuwa yule
ex-gf wangu (nilieanza
kumgonga tangu yuko form two nikaja
kumtema alipofeli form four) jinsi
alivonitia hasara baada ya kunitafuta na kusema anataka tuonane, sasa mimi
nikajiandaa tayari kwa
kupasha kiporo... Unfortunately dogo akaja na ndugu yake (bla bla bla nyingi unaweza ku review hapa chini)
ex-gf wangu kanitia hasara tuu.
SASA MAZEE:
Wakat nikianza kusahau machungu ya zile pesa zangu za:
1. kule PATAYA (25,000 yangu
kubabake inaniuma)
2. mikuku, misoda na michipsi walioshika shika na kuacha pale
UDBS
3. nauli nilizowalipia kuja na kurudi
4. pamoja na muda niliopoteza for nothing (maana nilitoroka kwa ofisi that day).
KAMA ZALI BANA:
Jana yule
mdogo wake aliekuja nae that day (dogo yuko form six shule moja matawi bagamoyo) kanipigia cm. NGRRRRRRRRRRRRRRRRR
Chief: Hello!!
Dogo: Hello mimi Noor (sio jina lake halisi)
Chief: Ahaaa.. habari za toka siku ile, uko wapi??
Dogo: niko home tangi bovu. Nilikua nakuaga kesho naenda shule!!
Chief: Daaah.. kwahiyo ndio sikuoni tena nikuage. kwani
E (yule ex-gf wangu) yuko wapi??
Dogo: Amesharudi moro week sasa. Njoo tangi bovu tuagane..
Chief: Daah (napenda kusema Daaah) niko job siwezi kutoka. Nikwambie kitu??
Dogo: I am listening (dogo anajifanya
ngeli imemkoleeeeea)
Chief: kwani ni lazima uondoke kesho?? Kwanza utaendaje Public holiday, wapige kiswahili home uondoke Jpili.
Dogo: Sawa, nitajaribu kumdanganya mama. Lakin
akikubali inabidi tuonane
Saturday.
Tukaongea mengi kishenz,
main point ni kuwa
dogo kajileta mwenyewe, mie wala cjamtafuta. Cjui alidata na
swaga zangu that day. Na uzuri
ex-gf wangu asharudi moro (what a golden chance).
YAANI MAZEE:
Sasa zile
hasira zangu za cku ile,
kubabake nitazimalizia Jmosi (endapo dogo hatazingua).
Yaani kubabake nitahakikisha
namkamua dogo mpaka aombe
poo. Ku avoid kurudia makosa, nitahakikisha dogo huyu hapa kafika (peke yake) ndio naenda kutafuta
chimbo (sasa hivi pande za kulee
Moveck Hotel, sitaki tena PATAYA).
Hureeeeeeee... Ngoja kwanza niende
tizi mida hii, nijiweke
fiti yasije yakanitokea kama yalivonitokea kwa demu wangu pale
Landmark hotel (
ile kuingiza tuu, waarabu haoo!!)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]