Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

N A K A Z I A [emoji419]
 
acha kuleta mambo ya vyama kwenye mada isiyo ya kisiasa. Kuna shule nyingi tu za serikali ziko vizuri. Ilboru, Kibaha, Tabora, Mzumbe, Kilakala, Msalato na nyinginezo.
Hizo shule za maana za serikali hazina umaana wowote. Ni kwa sababu tu zinapangiwa wale wanafunzi vipanga ndiyo maana zinaonekana ni bora. Zikipelekewa wanafunzi wenye DCC au DDC au hata CCC zitashika mkia
 
upo sawa watoto wangu wa kwanza na wapili kayumba mpaka chuo kikuu. wa tatu mwezi huu form 5 kayumba huko huko.. wa nne yupo la 7 anamaliza muda mfupi ujao maendeleo yake sio mabaya na inshallah atafaulu. huko medium sitaki hata kusikia!
Kila mtu anajikuna anapoweza. Kama wewe ni wa baby walker baki huko huko, ukijidai kutafuta ligi na wenye fortuner, range rover sports, land cruiser lx 200 etc utaumbuka.
 
Nimesoma government chekechea hadi chuo ila kiukweli mchamgo wa English medium ni kingereza tu,olevel nilisoma shule ambayo tulikua tunakutana na watoto waliotoka medium sikuona maajabu yao labda ile miezi ya kwanza form one baada ya apo wote tulikua sawa tu make hata kingereza sio kwamba walikua wanajua sana sema tu confidence walituzidi
 
True dat mkuu ni kweli kabisa
 
upo sawa watoto wangu wa kwanza na wapili kayumba mpaka chuo kikuu. wa tatu mwezi huu form 5 kayumba huko huko.. wa nne yupo la 7 anamaliza muda mfupi ujao maendeleo yake sio mabaya na inshallah atafaulu. huko medium sitaki hata kusikia!
Safi sana mkuu hizi English Medium ni ubabaishaji tu. . Wanao wapeleka watoto huko acha waendelee kupigwa
 
Hizo shule za maana za serikali hazina umaana wowote. Ni kwa sababu tu zinapangiwa wale wanafunzi vipanga ndiyo maana zinaonekana ni bora. Zikipelekewa wanafunzi wenye DCC au DDC au hata CCC zitashika mkia
Huyo nilikuwa namjibu kulingana na alivyoleta siasa.
 
Ndugu yangu nakuunga mkono ila watu bado wanakazana kujifanya hawaelewi ila urithi wa nyumba unaharibu vijana.
Sahihi kijana jenga kichwa chake sana kikijengeka atajenga nyumba mwenyewe tena siyo nyumba bali ghorofa au apartments za kufa mtu ndani au nje ya nchi

Jenga kichwa chake kwa elimu bora sio kumjengea nyumba Kichwa chake kikiwa bora hahitaji wa kumjengea nyumba bora atajenga mwenyewe
 
upo sawa watoto wangu wa kwanza na wapili kayumba mpaka chuo kikuu. wa tatu mwezi huu form 5 kayumba huko huko.. wa nne yupo la 7 anamaliza muda mfupi ujao maendeleo yake sio mabaya na inshallah atafaulu. huko medium sitaki hata kusikia!
Hongera sana mkuu... mambo ya stress za ada siyataki tena aisee. Maisha yenyewe ndio haya haya
 
Upo sahihi mkuu
 
Huku ni kuyumba kiuchumi tu hakuna kingine.
 
Ahsante
 
Hata kama una pesa lazima ujifunze kubana matumizi.
Sio busara kulipa milioni4 ili mtoto afundishwe A for Apple. Mwisho wa siku maisha ndo haya haya
Tatizo suala la pesa halijawahi kuwa fair chief, kuna watu kwa mwezi wanavuta hadi 6M Sasa mtu km uyu ukimwambia siyo fair kulipa 4M tena kwa mwaka hawezi kukuelea
 
Kipindi naanza maisha, nilimshirikisha jamaa yangu nilitaka kununua kisabufa. Bajeti ilikuwa 150k. Akaniambia acha kupoteza hela nunua sabufa ya 60k tu inatosha. Hakuna shida
Tv basi nikawaambia nataka nchi 32, akaniambia acha kupoteza hela, chukua ya nchi 15 au 21 tu inatosha.
Kuna baadhi ya marafiki ukiwa nao ndiyo kinakuwa chanzo chako cha umasikini. Nishakoma kushirikisha marafiki wenye mawazo ya kimasikini. Nilitegemea angeniambia, tatafuta hela uchukue muziki wa 800k. Ule maisha
 
HAUNA HELA MKUU..

NIMESOMA SERIKALI MSINGI HADI CHUO.

ILA NILIAPA MWANANGU HATASOMA HIZI SHULE.

UNATUMIA NGUVU NYINGI KUTOBOA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…