Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Yaani brother.. Inatia huruma sana, kuna shule mtu akisoma anakutana na exposure na connections za kutosha.
Ukitaka ona ukweli kaangalie huku uswazi, wengi wamesoma na kumaliza shule ila hawajikomboi kuhama maeneo hayo, hivyo maisha yao yanaendelea kuwa vile vile. Mtu anaona ni sawa kuishi stoo
Mtu anaona ni sawa kujiuza
Mtu anaona ni sawa kunywa visungura etc
 

Mkuu watu hawaelewi, hao wanaowaona laini ndio wana connections na akili za kuishi soft life zaidi. Imagine mtu kasoma na watoto wa mawaziri, diplomats, businessmen yaani circle nzima ipo loaded. Ndio ulinganishe na mtu kasoma na watoto wa wakulima na wafugaji

Halafu humu watu wanajitoa akili, yaani unawatumia kina Nyerere, Mkapa au Pinda leo hii kama successful stories na wakati dunia yao na yetu ni mbingu na ardhi..

Kiukweli hata kama primary ntawasomesha shule za kawaida ila kuanzia o level acha wakapambane na kutengeneza future connections na exposure
 
Kuna rafiki yangu kipindi ndo niko mgeni Dar bado hali ya kiuchumi sio nzuri akaniambia tudamke saa 11 twende sokoni Ilala huwa zinauzwa jeans kali sana kwa bei nafuu. Tulivyofika tukakuta jamaa wanauza jeans za mtumba watu wanazigombania ili kwenda kuziuza tena... mimi bila kujua nikawa nasubiri hizo jeans kali alizosema jamaa kumbe ndo zile mtumba watu wanazonunua. Nikamwambia jamaa iwe mwanzo na mwisho kuniitia vitu kama hivyo hata kama hali yangu sio nzuri kifedha
 
Mi mtoto wangu atasoma shule bora zisizo karirisha kufaulu.

Huwezi kuta hizi shule za International zikitoa ranking baina ya wanafunzi
Ada ya international ni ndefu aisee. Sema kwa mzazi mwenye pesa za kutosha anakua anaandaa mroto wake kuongoza miradi. Watoto wa huko huwa akili zao katika kuwekeza ziko level ingine kabisa ya kidunia.

As of me natamani waende shule ziwe medium. Isiwe jina kuubwaa. Just average schools zenye maadili mazuri na ajichanganye na maisha yote. Sitaki awe na maisha ya anasaaa sana ama ya dhikiii. Hapana. Awe middle hapo ila akili ikae katika kutafuta pesa
 
Elimu ya Msingi yafaa kutolewa kwa lugha mama
Ishu sio lugha changamoto ni mazingira ya shule za kayumba ni magumu kuanzia kwa wanafunzi mpka kwa walimu unakta darsa lina wanafunz 100 mpka wengine wanakaa chini hapo unadhani mwalimu atajitoa au kupata muda kwa wale wenye uwezo mdogo....

Kumbuka hapo mwalimu hana presha ya kufukuzwa kazi.
 
Hoja zako za kitoto sana mkuu.
 
International nyingi ni milioni 20 kwa mwaka ukiwa na watoto 3 utatumia Bilioni tu.
Hapo lazima uwe na kiwanda kinachoingiza faida ya kuanzia milioni 30 kwa mwezi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] daaah. But why?
Nenda uswahilini utaelewa, wengi wanaishi maeneo hayo hayo sababu ya fikea walizojengewa makwao
 
Big up mkuu kulifahamu hili mapema.
Tusomeshe watoto kulingana na vipato vyetu kama una pesa peleka wanao International school mitaala ya Cambridge, kipato cha kati peleka wanao english medium, kama ni mgonga ulimbo kama mimi mpeleke mwanao Kayumba.
Halafu suala la mtoto kufanya vizuri shuleni asilimia kubwa ni kumfuatilia mtoto kama humfuatilii mtoto imekula kwako.
 
Watu wanajipa tu moyo kijinga. Hata shule za serikali siku hizi zina matabaka. Kuna shule zinaitwa za kitaifa yaani hizo ni kali kuliko hata za private. Tena kwa jinsi JPM alivyoziboresha zimekuwa hatari. High school za kitaifa zina watoto wa kishua waliotoka private ndo maana zinapasua sana form six.
 
100%
 
Kama shule zipi mkuu?
 
Ha ha ha hatari saana mkuu. Ama kwa hakika kila kitu kina faida na hasara zake. Kila mtu aainishe hasara na faida za jambo lake analotaka kufanya kabla ya yote. Hakuna lenye faida lisilo na hasara.
Baobab nimesoma na watoto wa viongozi wengi kwelikweli ukiachana na wafanya biashara. Connections ziko nyingi sana aisee. Sema pia hizi shule za single sex daah, ulesbian upoo. Kama ya o level roomate alikua ndo mbanga zake. Sasa hv ameolewa yule dada. Walikua wanalala kitanda cha juu aisee. Niliwawashia moto balaa. Alikua na lidada lake la shule la form four amekaukiana kama mwanaume. Anakuja lala nae. Usiku unasikia watu wanaugulia. Aisee hapana. Yaan kila jambo lina hasara na faida.
 
Wewe jamaa ni mtupu mno kichwani. Unajua Mange kwa sasa anaingiza pesa nyingi kuliko makampuni mengi ya media? Dah uko nyuma ya wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…