Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, naamini uko sahihi kabisa, ila na wanaopeleka watoto wao shule wanazotaka pia wako sahihi kabisa.Hizo unazo ziita changamoto ndio zinazo wafanya wazazi wengine wawapeleke watoto wao kwenye shule hizo ili waanze kujifunza kuhusu changamoto za maisha tangu wakiwa wadogo.
Hizo changamoto ni sehemu ya makuzi kwa mtoto pia.
Binafsi siwezi mpeleka mtoto wangu sehemu ambayo haina changamoto
Hakika mkuu.Umasikini ni tatizo na Watanzania wanafurahi kuwa masikini na wanautukuza
Ukiona huwezi kusomesha mtoto English medium School basi wewe huna uwezo huo, full stop! Hizo sababu nyingine unazotoa si kweli, imagine umewatoa watoto kwenye shule nzuri unajisifu umenunua kiwanja cha laki 9 Mvuti! Hakuna kitu muhimu kama elimu ya msingi iliyo bora na inayokwenda na wakati.Miezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa jf wenye title" Tunaowatoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa"
Soma: Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane
Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakao nipa "faida" nitakazozipata kwa kuwarejesha watoto wangu Kayumba plus maneno ya kunifariji ambayo yatasaidia kujustify uamuzi wangu.
Sababu ya kuwarejesha kayumba wanangu ni kuyumba kiuchumi. Nilipata maoni mengi mazuri. Miongoni mwa maoni niliyopata hapa JF ni pamoja na:
1. Itanisaidia kuokoa pesa ambayo ninaweza ku invest katika maeneo mengine muhimu kama vile kuwanunulia viwanja na kuwajengea nyumba watoto wangu so that wanapofika level ya chuo at least kila mtu awe na nyumba yake moja.
2. Sitokuwa na stress za ada plus mbaya kuliko zote ile stress maalumu ambayo mzazi unaipata wakati mtoto wako amerudishwa nyumbani ada, wakati wenzake plus jirani zako wanaosoma kayumba wanaenda shule.
Nje ya JF nilipata ushauri kutoka kwa
1. Binti yangu; yeye yupo form three shule ya kayumba pia. Nilimsomesha English Medium kuanzia la kwanza. Anasema daddy kuna watoto wamesoma shule za kiswahili lakini wapo vizuri sana darasani kuliko waliosoma shule za kiingereza.
2. Brother wangu wa mtaani ambaye na yeye kawarudisha watoto wake kayumba. (huyu kasomesha hadi chuo but still bado ana watoto wa primary). Alikuwaga kichaa wa shule za English medium.
Anasema mdogo wangu mtoto wako umsomeshe kayumba au English Medium mwisho wa siku wote watakufa watazikwa…(anataja jina la makaburi ya mtaani kwetu)
Akaongeza: Tofauti ya kayumba na English Medium ni lugha tu lakini mwisho wa siku wote wanaandaliwa kuajiriwa..
Kingine siku hizi watoto wanaharibika sana so hakuna guarantee mtoto wako atakuja kuwa nani hapo baadae.
Akaongeza "shule nyingi za English Medium zinawafanya wanafunzi hasa watoto wa kiume kuwa watoto walaini laini (ana experience na watoto wake mwenyewe na rafiki zake). Halafu haziwafundishi watoto kuhusu uhalisia wa maisha zaidi ya kuwakaririsha masomo so bora umpeleke kayumba akapambane na kukomaa huko.
MIEZI MIWILI BAADA YA KUFANYA UAMUZI.
1. Nimenunua kiwanja nje ya mji ( ilala rural/ mvuti) kwa Tsh. laki tisa na mwezi ujao Insha'allah nitapiga msingi( fundi wangu yupo Kinondoni ambae alinijengea nyumba yangu ya kwanza utaratibu wake wa kazi huwaga ni wewe ukiwa na hela yoyote hata laki tano niite kwa lako tano hiyo hiyo nitafanya kitu. Next time ukipata laki tatu niite. Hadi nyumba yako itakamilika. Huyu ndo alinifanya nikajenga nyumba yangu ya kwanza. Tukiwa Kinondoni shamba au Hananasif tunaangalia ndondo anapokea simu za watu anaowajengea nyumba anasema “huyu anauza mchicha, huyu mama lishe etc”. Nikawa inspired.
2. Kuhusu somo la kiingereza nimenunua vitabu na CDs ambayo madogo watakuwa wanajifunza wakiwa home plus tuition ya nguvu ya kiingereza.
Mungu akinipa uhai nitafanya vitu vikubwa sana kwenye familia yangu.
Kama uwezo wako mdogo, unaishi nyumba ya kupanga uswahilini, uchumi wako umeyumba, sikushauri uhangaike na English medium.
Mpeleke mwanao kayumba wewe upambane kutafuta hela.
Point kubwa sana hiiMpeleke mwanao kayumba kama huna hela, ila usimpeleke huko ili ujenge.
Ni kweli mkuu ila Nina watoto wanasoma shule moja jijini 2M per each, Kwa mwaka 4.M yaani mkuu inanisononeshansana kuona wanakaririshwa tu. Nimewaza sans baada ya kusoma Uzi huu.Ukiona huwezi kusomesha mtoto English medium School basi wewe huna uwezo huo, full stop! Hizo sababu nyingine unazotoa si kweli, imagine umewatoa watoto kwenye shule nzuri unajisifu umenunua kiwanja cha laki 9 Mvuti! Hakuna kitu muhimu kama elimu ya msingi iliyo bora na inayokwenda na wakati.
Masikini wanapenda sana kujifariji na sababu za kipuuzi.
Elimu ni nini?Ukiona huwezi kusomesha mtoto English medium School basi wewe huna uwezo huo, full stop! Hizo sababu nyingine unazotoa si kweli, imagine umewatoa watoto kwenye shule nzuri unajisifu umenunua kiwanja cha laki 9 Mvuti! Hakuna kitu muhimu kama elimu ya msingi iliyo bora na inayokwenda na wakati.
Masikini wanapenda sana kujifariji na sababu za kipuuzi.
Gutuka mkuu usiendelee kupigwa.Ni kweli mkuu ila Nina watoto wanasoma shule moja jijini 2M per each, Kwa mwaka 4.M yaani mkuu inanisononeshansana kuona wanakaririshwa tu. Nimewaza sans baada ya kusoma Uzi huu
Nilisimamisha ujenzi kwa takribani miaka 6,tokea nimechukua maamuzi magumu ya kumpeleka mtoto wangu kayumba ujenzi unaenda kwa kasi ya ajabu,hili kwa wale wazee wa kukwapua nadhani hawatanielewa,ila kwa sisi tunaotegemea mshahara wa mwezi watajua naongea nini.Kizuri zaidi mwanangu ni kicwa na huku aliko bado anawapelekesha,kwa hiyo namshukuru Mungu kwa kunipa maamuzi sahihi...Miezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa jf wenye title" Tunaowatoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa"
Soma: Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane
Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakao nipa "faida" nitakazozipata kwa kuwarejesha watoto wangu Kayumba plus maneno ya kunifariji ambayo yatasaidia kujustify uamuzi wangu.
Sababu ya kuwarejesha kayumba wanangu ni kuyumba kiuchumi. Nilipata maoni mengi mazuri. Miongoni mwa maoni niliyopata hapa JF ni pamoja na:
1. Itanisaidia kuokoa pesa ambayo ninaweza ku invest katika maeneo mengine muhimu kama vile kuwanunulia viwanja na kuwajengea nyumba watoto wangu so that wanapofika level ya chuo at least kila mtu awe na nyumba yake moja.
2. Sitokuwa na stress za ada plus mbaya kuliko zote ile stress maalumu ambayo mzazi unaipata wakati mtoto wako amerudishwa nyumbani ada, wakati wenzake plus jirani zako wanaosoma kayumba wanaenda shule.
Nje ya JF nilipata ushauri kutoka kwa
1. Binti yangu; yeye yupo form three shule ya kayumba pia. Nilimsomesha English Medium kuanzia la kwanza. Anasema daddy kuna watoto wamesoma shule za kiswahili lakini wapo vizuri sana darasani kuliko waliosoma shule za kiingereza.
2. Brother wangu wa mtaani ambaye na yeye kawarudisha watoto wake kayumba. (huyu kasomesha hadi chuo but still bado ana watoto wa primary). Alikuwaga kichaa wa shule za English medium.
Anasema mdogo wangu mtoto wako umsomeshe kayumba au English Medium mwisho wa siku wote watakufa watazikwa…(anataja jina la makaburi ya mtaani kwetu)
Akaongeza: Tofauti ya kayumba na English Medium ni lugha tu lakini mwisho wa siku wote wanaandaliwa kuajiriwa..
Kingine siku hizi watoto wanaharibika sana so hakuna guarantee mtoto wako atakuja kuwa nani hapo baadae.
Akaongeza "shule nyingi za English Medium zinawafanya wanafunzi hasa watoto wa kiume kuwa watoto walaini laini (ana experience na watoto wake mwenyewe na rafiki zake). Halafu haziwafundishi watoto kuhusu uhalisia wa maisha zaidi ya kuwakaririsha masomo so bora umpeleke kayumba akapambane na kukomaa huko.
MIEZI MIWILI BAADA YA KUFANYA UAMUZI.
1. Nimenunua kiwanja nje ya mji ( ilala rural/ mvuti) kwa Tsh. laki tisa na mwezi ujao Insha'allah nitapiga msingi( fundi wangu yupo Kinondoni ambae alinijengea nyumba yangu ya kwanza utaratibu wake wa kazi huwaga ni wewe ukiwa na hela yoyote hata laki tano niite kwa lako tano hiyo hiyo nitafanya kitu. Next time ukipata laki tatu niite. Hadi nyumba yako itakamilika. Huyu ndo alinifanya nikajenga nyumba yangu ya kwanza. Tukiwa Kinondoni shamba au Hananasif tunaangalia ndondo anapokea simu za watu anaowajengea nyumba anasema “huyu anauza mchicha, huyu mama lishe etc”. Nikawa inspired.
2. Kuhusu somo la kiingereza nimenunua vitabu na CDs ambayo madogo watakuwa wanajifunza wakiwa home plus tuition ya nguvu ya kiingereza.
Mungu akinipa uhai nitafanya vitu vikubwa sana kwenye familia yangu.
Kama uwezo wako mdogo, unaishi nyumba ya kupanga uswahilini, uchumi wako umeyumba, sikushauri uhangaike na English medium.
Mpeleke mwanao kayumba wewe upambane kutafuta hela.
Yaaan nisikudanganye. Mimi somo la hesabu nilikua mbovu kweli. Yaani mbovu. Nadhani pia ni kufata mkumbo wa watu ooh mathematics blah blah. Nilikua nachapwa na mwalimu wake. Ilibidi siku moja nimfate ofisini tu nimwambie mwalimu utanipiga uniue. Kati ya kondoo wako 234 naomba unitoe hapo mimi kondoo mmoja tuu maana tunakielekea utaniua. Kuna madam wa kiswahili akasikia akaniuliza kwani mock ulipata ngapi.? Nikameonyesha paper langu. Aliangua kicheko staff nzima na walimu wengine walipoona. Badi mwalim wa hesabu akaja class qkatangaza kuanzia siku hiyo ni maamuzi ya mtu aingie kipindi cha maths ama lah. Na kweli nina F. inaniumaje.Ila maisha yanaenda haraka sana, kipindi chetu tunaingia sekondari miaka ya themanini mwishoni, kusoma private ilikuwa aibu maana ni kwa wale waliofeli, leo kusoma huko ni fahari, kisa kiingereza na ada kubwa. Tumejiwekea social classes kutumia hizi shule, ambaye hana uwezo naye anajifaragau aoneka yumo wakati huo anateseka. Mwisho wengine wanakuja kuuza baa na vikiingereza vyao. Shule mtoto anatakiwa apige vizuri Hisabati na masomo ya sayansi yakiwemo ya uchumi na biashara hayo ndiyo maisha siyo lugha ya watu, bado ni utumwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa. Hapo tu ndo tuliwabondea kayumba. Ila kayumba wana akili balaa. Basi tu yaaniChamsingu waende shule tu mkuu, usiwaze sana
Mimi nimesoma hizo English medium za mamilioni na kweli faida yake nimeona ni kingereza tu hamna kingine[emoji28]
Elimu ya chuo au veta ndo ina umuhimu mkubwa
😁Pole sana mkuu, fanya kile kiko ndani ya uwezo wako. Watoto wangu wanasoma private kwani nazijua changamoto lukuki za public school.
😁😁Kuwajengea nyumba ni Investment? Wewe akili huna.Ungesema unawaanzishia biashara ungeeeleweka .Nyumba na viwanja vyako vya kipuuzi vitawasaidia nini?
Wahindi maisha yao wanapanga wanadomesha watoto.best schools na watoto wao wana maisha mazuri mno.pamoja na watoto wao hawaishi uswahilini wanaishi katikati ya miji maisha mazuri mno wote wazazi na watoto kuliko wewe mwenye viwanja vya hovyo nje ya mji huko uswahilini
Nyumba na viwanja.navyo ni vitu vya kujivunia kuwa ume sacrifice watoto wasome Kayumba kisa ubaki na vihela koko vya kuwajengea nyumba na kuwanunulia viwanja koko nje ya mji huko uswahilini?
Wewe akili zimo kichwani kweli?
Unaelewa maana ya sacrifice?
Wewe kama wewe lazima upate Faida Kwa sababu umepunguza matumiziMiezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa jf wenye title" Tunaowatoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa"
Soma: Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane
Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakao nipa "faida" nitakazozipata kwa kuwarejesha watoto wangu Kayumba plus maneno ya kunifariji ambayo yatasaidia kujustify uamuzi wangu.
Sababu ya kuwarejesha kayumba wanangu ni kuyumba kiuchumi. Nilipata maoni mengi mazuri. Miongoni mwa maoni niliyopata hapa JF ni pamoja na:
1. Itanisaidia kuokoa pesa ambayo ninaweza ku invest katika maeneo mengine muhimu kama vile kuwanunulia viwanja na kuwajengea nyumba watoto wangu so that wanapofika level ya chuo at least kila mtu awe na nyumba yake moja.
2. Sitokuwa na stress za ada plus mbaya kuliko zote ile stress maalumu ambayo mzazi unaipata wakati mtoto wako amerudishwa nyumbani ada, wakati wenzake plus jirani zako wanaosoma kayumba wanaenda shule.
Nje ya JF nilipata ushauri kutoka kwa
1. Binti yangu; yeye yupo form three shule ya kayumba pia. Nilimsomesha English Medium kuanzia la kwanza. Anasema daddy kuna watoto wamesoma shule za kiswahili lakini wapo vizuri sana darasani kuliko waliosoma shule za kiingereza.
2. Brother wangu wa mtaani ambaye na yeye kawarudisha watoto wake kayumba. (huyu kasomesha hadi chuo but still bado ana watoto wa primary). Alikuwaga kichaa wa shule za English medium.
Anasema mdogo wangu mtoto wako umsomeshe kayumba au English Medium mwisho wa siku wote watakufa watazikwa…(anataja jina la makaburi ya mtaani kwetu)
Akaongeza: Tofauti ya kayumba na English Medium ni lugha tu lakini mwisho wa siku wote wanaandaliwa kuajiriwa..
Kingine siku hizi watoto wanaharibika sana so hakuna guarantee mtoto wako atakuja kuwa nani hapo baadae.
Akaongeza "shule nyingi za English Medium zinawafanya wanafunzi hasa watoto wa kiume kuwa watoto walaini laini (ana experience na watoto wake mwenyewe na rafiki zake). Halafu haziwafundishi watoto kuhusu uhalisia wa maisha zaidi ya kuwakaririsha masomo so bora umpeleke kayumba akapambane na kukomaa huko.
MIEZI MIWILI BAADA YA KUFANYA UAMUZI.
1. Nimenunua kiwanja nje ya mji ( ilala rural/ mvuti) kwa Tsh. laki tisa na mwezi ujao Insha'allah nitapiga msingi( fundi wangu yupo Kinondoni ambae alinijengea nyumba yangu ya kwanza utaratibu wake wa kazi huwaga ni wewe ukiwa na hela yoyote hata laki tano niite kwa lako tano hiyo hiyo nitafanya kitu. Next time ukipata laki tatu niite. Hadi nyumba yako itakamilika. Huyu ndo alinifanya nikajenga nyumba yangu ya kwanza. Tukiwa Kinondoni shamba au Hananasif tunaangalia ndondo anapokea simu za watu anaowajengea nyumba anasema “huyu anauza mchicha, huyu mama lishe etc”. Nikawa inspired.
2. Kuhusu somo la kiingereza nimenunua vitabu na CDs ambayo madogo watakuwa wanajifunza wakiwa home plus tuition ya nguvu ya kiingereza.
Mungu akinipa uhai nitafanya vitu vikubwa sana kwenye familia yangu.
Kama uwezo wako mdogo, unaishi nyumba ya kupanga uswahilini, uchumi wako umeyumba, sikushauri uhangaike na English medium.
Mpeleke mwanao kayumba wewe upambane kutafuta hela.
Jipe moyo ANAKUITA...Nakazia mkuu.
Kila saa dad and mom