SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Usingekuwa na huo usimba na uyanga usingeamka leo ukalivaa hili kwa sababu ligi yetu haya tumeyaona sana msimu uliopita, ulikuwa wapi kuyakemea? Wengine tulishasema huu ni msimu wa kumatch uhuni wa Yanga ili kwenda nao sambamba.they report yearly sport reviews globally. wewe una simba na yanga mentality. tumetoka huko. wengine. also naona hujui kitu out of ligi kuu
Kama nia yako Simba itajwe kwenye ripoti ya UN usisahau kuwaambia ilimteka mchezaji airport!
Mpira wetu kivyetuvyetu