Mrejesho FIFA, I need help

Mrejesho FIFA, I need help

naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee Niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.

Yaani habar za utube ndo ziwe ushahidi. [emoji2][emoji2]
 
Ata kama alitakiwa manyema, mpira au mchezo uwe wa haki...!

Kusiwe na janja janja...! Kila leo mna tengeneza ujanja ujanja wa kutimiza malengo yenu kupitia michezo

Mwisho mna poteza ladha ya mchezo wenyewe na ata kupoteza ubora wa michuano husika!

Timu zina bebwa ata kama zime vunja sheria, ujanja ujanja mwingi kwenye Ligi
Tafuta mchezo mwingine ushabikie. Ukiweza hata draft au bao la kete. Hiyo ndiyo football dunia nzima na hapo ndipo penye utamu wenyewe.

Huko Europe pamoja na VAR lakini bado watu wanalalamika
 
Am not . The letter was sent yesterday to interpol and fifa commitee . Mimi na post tu ,
Unachofanya ni sawa na kupaka rangi upepo.
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Sema FIFA watakuuliza maswali ya mtego

Mbona kwenye tukio hilo hukuwahi kututumia barua ya kuripoti kuwa ni match fixing?

Sijui utavyo wajibu

FIFA sio Mahakama . Reports are sent to federation of accusations . Global reports are recorded forever
 
Sema FIFA watakuuliza maswali ya mtego

Mbona kwenye tukio hilo hukuwahi kututumia barua ya kuripoti kuwa ni match fixing?

Sijui utavyo wajibu

Hoja yako haina msingi, kushindwa kutoa taarifa ya matukio yaliyopita siyo sababu ya kukataa tukio linalolalamikiwa, kikubwa uwepo ushahidi wa kutosha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ishu ni hukumu juu ya kosa hilo endapo FIFA wakasema watoe hukumu je ni nani ambaye atayewajibishwa?

Bodi yetu ya ligi imekuwa ikitoa hukumu kwa marefa pale inapotokea wameharibu mechi.

Huyo Frolentina tayari alikwisha adhibiwa na mamlaka za ndani.

Lakini huyu wa juzi watu hamjataka kusubiri Bodi ifanye maamuzi mmeamua kwenda moja kwa moja FIFA.

Sasa unaripoti hili tatizo ukiwa na mategemeo kuwa atayekwenda kuadhibiwa ni nani?

Unafikiri ni Simba?

Unafikiri ni TFF na Bodi ya ligi?
 
Usingekuwa na huo usimba na uyanga usingeamka leo ukalivaa hili kwa sababu ligi yetu haya tumeyaona sana msimu uliopita, ulikuwa wapi kuyakemea? Wengine tulishasema huu ni msimu wa kumatch uhuni wa Yanga ili kwenda nao sambamba.

Kama nia yako Simba itajwe kwenye ripoti ya UN usisahau kuwaambia ilimteka mchezaji airport!

Mpira wetu kivyetuvyetu
Simba wana historia ndefu ya rushwa kwenye kupanga matokeo ya mechi. Kuna wakati Ulimboka alikamatwa akipeleka rushwa Mtibwa ili Simba ipate matokeo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ishu ni hukumu juu ya kosa hilo endapo FIFA wakasema watoe hukumu je ni nani ambaye atayewajibishwa?

Bodi yetu ya ligi imekuwa ikitoa hukumu kwa marefa pale inapotokea wameharibu mechi.

Huyo Frolentina tayari alikwisha adhibiwa na mamlaka za ndani.

Lakini huyu wa juzi watu hamjataka kusubiri Bodi ifanye maamuzi mmeamua kwenda moja kwa moja FIFA.

Sasa unaripoti hili tatizo ukiwa na mategemeo kuwa atayekwenda kuadhibiwa ni nani?

Unafikiri ni Simba?

Unafikiri ni TFF na Bodi ya ligi?
Ndio maana nikasema ushahidi ndio muhimu. Kama aliboronga kutokana na uwezo, hii ni hoja nyingine ambayo inamhusu refa na wasaidizi wake. Ila ikionekana kuwa Simba walitumia rushwa katika hii mechi basi itashughulikiwa kama club.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nikasema ushahidi ndio muhimu. Kama aliboronga kutokana na uwezo, hii ni hoja nyingine ambayo inamhusu refa na wasaidizi wake. Ila ikionekana kuwa Simba walitumia rushwa katika hii mechi basi itashughulikiwa kama club.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Na zile ambiguity scenario kwenye mechi zenu ambapo mwamuzi alikuwa anawanufaisha nyinyi ikionekana ni rushwa?
 
Hivi ushahidi wa rushwa utaweza kuuthibisha vipi?

Kwamba utapekua account yake kuangalia miamala yake kabla ya mechi?
Well evidence sent . I have some one looking for more
 
Back
Top Bottom