Mrejesho FIFA, I need help

Safi tupo pazuri!

Raia wana takiwa kuamka kila wanapo Ona kuna uovu waukemee kwa nguvu zote!

Tusibaki kulalamika pekee, kama ndani tuna Ona hakuna haki basi tuna weza I tafuta nje

Watanzania, Sio wajinga!
Upo sahihi.Saivi dunia imekuwa kijiji.Nampongeza sana jamaa maana kususia kuangalia mpira siyo suluhisho.
 
Naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
Uto bana,
We ulivyotuma meseji si ulisema unao ushahidi? Wape sasa.
 
Wewe ndio hujawaelewa wadau, watu wamejua huyu yupo upande upi!!
 
Wewe ndio hujawaelewa wadau, watu wamejua huyu yupo upande upi!!
Sina side . Ww ujaangalia mpira , That match was supposed to be reported . You must be stupid to think it was a normal match . Stand with the truth acha feelings
 
Hv hili la bandari tunatuma wapi malalamiko?
Asante
 
Tafuta mchezo mwingine ushabikie. Ukiweza hata draft au bao la kete. Hiyo ndiyo football dunia nzima na hapo ndipo penye utamu wenyewe.

Huko Europe pamoja na VAR lakini bado watu wanalalamika
Ashabikie rede
 
Sina side . Ww ujaangalia mpira , That match was supposed to be reported . You must be stupid to think it was a normal match . Stand with the truth acha feelings
Huu ni upuuzi kuandika kwa Kisw-English,tulia kwenye lugha moja , kwa lugha hizo unaonekana mtu ambaye hazimo
 
Naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
Tafuta clip ya kibu akiangushwa ndani ya 18 na clip ya mabeki wa Yanga wakicheza rede,inaonekana wazi kulikua na match fixing na wahusika wakuu ni Ile kampuni ya kubet inayowadhamin. Ushahidi upo wazi mkuu, usikubali kukatishwa tamaa na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…