Mrejesho: Forex ya Ontario

Mrejesho: Forex ya Ontario

Duu hii mada aihusu forex imeungwa uku mods fanyeni muurudishe uwe huru ahusiani na forex Ontario yupo kabla ya forex
 
Fuata hizi hatua

Hatua ya Kwanza:
SOMA HII THREAD: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Je kwa nini usome hiyo thread & Comment zake:
1. Utapata ufahamu wa FX nini?
2. Utapata vitabu na video zitakazokupa mwanga zaidi wa nini unatakiwa kufanya, Vitabu na video imetolewa na wadau wengi wanao fanya FX.

Hatua ya Pili: FUNGUA demo acount
Je kwa nini ufungue demo account, Sababu
1. Kwa kuwa umekamilisha hatua ya kwanza, Tayari utakuwa unafahamu ABCs za FX
2. Kile ulichojifunzainatakiwa ukifanyie mazoezi angalau kwa miezi mitatu (3): Still bado utakuwa hujaiva inavyotakiwa

Hatua ya Tatu: Lipia mafunzo mtanzaoni kupitia UDEMY .COM search FOREXBOAT - Online Courses - Anytime, Anywhere | Udemy course zao mbili zinatosha.

Hatua ya Nne: Hakikisha unapata Mentorship baada ya kufungua Real Account
Sababu
- Hakuna mwanafunzi anayefanikiwa bila uwepo wa mwongozo wa mwalimu.
- Hapo ndio umuhimu wa training itolewayo na TMT inapojitokeza

Kila lakheri mkuu

Kuna umuhimu wa hatua ya 3 kama TMT wapo?
 
Kiongozi, mimi ni mmoja ya waliokuwa wanasubiria muendelezo mara baada ya kusoma ile thread ya utambulisho wa Forex, lkn nilipata changamoto apo kati sikuwa mtandaoni kabisa.. baada ay kusoma hii.. nahisi darasa lishaanza.. naomba kujuzwa kidogo ili nami nijue nianzie wapi tafadhali!
f55680a96aca06ef332afeb1f687d2d5.jpg
 
duh! ontario kawa babako tena aisee watanzania tunayo kazi hapaa.kwa kujipendekeza hatujambo.yaani kisa forex tu unamuita babako je angekuwa anauza bangi ungemwitaje! shame of you!!!
sina imani na ontario kwan hata elimu yake ina utata kama anabisha alete vyeti apaa maana alituambia amesoma m.d mara enginerng pale udsm.kingne forex ni utapeli tu haitofautiani na bitcoin!!!
[HASHTAG]#urclassmateihungoboyz[/HASHTAG]
 
Kwangu mimi forex imekuwa ndio msingi wangu wa maisha pengine kuliko hata mshahara wangu ninaopata kutokana na kazi niliyoajiriwa. Kwa mwezi mshahara wangu hauzidi 1.5 million tena hapo bado hujakatwa kodi na mazagazaga mengine mengi nadhani kwa mlioajiriwa mnajua naongea kitu gani hapa! Mimi sikuhudhuria mafunzo ya forex yaliyokuwa yanaendeshwa na TMT katika baadhi ya mikoa hapa nchini. Sikuhudhuria training hizo si kwa sababu sikutaka kufanya hivyo la hasha bali ni kwa sababu nilikosa muda au ruhusa kazini kwangu na kwa bahati mbaya mkoa ninaokaa training hizo hazikufanyika. Hivyo kutokana na hali hiyo ilinibidi nianze kujifunza mimi mwenyewe kupitia kwenye vitabu vilivyokuwa vinawekwa kwenye magroup ya forex pamoja na jf. Pia mtandao (internet) ndiyo ilikuwa source yangu kubwa ya kusoma forex kwa maana ya materials, forums, videos n.k. Nlikuwa nasoma na kufanya demo trading kwa mabroker mbalimbali kwa muda kama wa miezi mitano hivi kuanzia mwezi wa 7 hadi wa 12, 2017.

Baada ya kupata uzoefu wa kuridhisha kwa kiwango changu niliamua kufungua real/live trading a/c ya forex mwanzoni mwa mwezi januari 2018 na nilianza na mtaji wa 100 usd. Nilianza na mtaji mdogo kwa sbabu bado nilikuwa mgeni kwenye hii biashara hivyo sikupenda kuweka hela zangu nyingi (sikuingia kichwa kichwa). Kutokana na experience niliyoipata sasa hivi nimeweza kutengeneza faida zaidi ya 2000 usd kutokana na hiyo 100 usd tu ndani ya wiki tatu baada ya kutake calculated risks. Kwa week ya kwanza naliweza kupata faida ya hadi dollar kama 500 hivi wakati naanza kutrade. Kadri mtaji ulivyokuwa unaongezeka hata profit pia imekuwa ikiongezeka.

Kwa uzoefu wangu kama unamtaji kuanzia 500 usd na unajua kutrade forex ndani ya wiki moja unawezeza kupata hata dollar 2000 pengine hata zaidi ya hapo.

PENYE NIA PANA NJIA. WASIOAMINI KUWA HAYA MAMBO YA FOREX YAPO NA WATU WANAPIGA PESA NDEFU JAPO PIA HASARA HUWA IPO KAMA USIPOFUATA KANUNI, NACHUKUWA HII FURSA KUWAPA POLE SANA. ILA KWA WALE AMBA BADO HAWAAMINI KUWA FOREX NI NJIA NZURI TU YA KUJIPATIA KIPATO NAWAOMBA WABADILI -VE MINDSET (MTAZAMO HASA) JUU YA FOREX HAWAJACHELEWA FOREX IPO TU.

TUSICHOKE KUJIFUNZA, KWENYE FOREX ELIMU, ELIMU, ELIMU NDIO MSINGI MKUU WA MAFANIKIO NA SIYO MTAJI WA PESA PEKEE. HATA KATIKA BIASHARA NYINGINE KAMA HUNA TAARIFA MUHIMU (ELIMU) JUU YA HIYO BIASHARA HUTAWEZA KUFANYA VIZURI KATIKA HIYO BIASHARA HATA KAMA UNA MTAJI MKUBWA WA FEDHA.
 
umeeleweka tatizo watz hawapendi kujifunza, na huwezi kujifunza bila kusoma
Fx is not for everyone, this week nmepata profit $870 mnaondelea kumuita ontario tapeli kazi kwenu
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 
Hivi hamkomi tu??
 
umeeleweka tatizo watz hawapendi kujifunza, na huwezi kujifunza bila kusoma
Fx is not for everyone, this week nmepata profit $870 mnaondelea kumuita ontario tapeli kazi kwenu
Utapeli wa Ontario ni kwa kulazimisha watu wamtumie JP Markets kama Broker
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Back
Top Bottom