Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Sio sahihi.Sasa si umeshaliwa pesa ya mafunzo au uliingia bure.Wenzako wana ajira ya uhakika.
Tangulini kujifunza taaluma, ikawa ni kuliwa fedha??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sahihi.Sasa si umeshaliwa pesa ya mafunzo au uliingia bure.Wenzako wana ajira ya uhakika.
nisaidie kujibu swali hili:- Forex inatumia account za bank kawaida NMB, CRDB![]()
We jamaa Wa kuitwa Ontario uendelee kuishi miaka mingi utaacha kumbukumbuku uliotukuka miongon mwa vijana Wa Tanzania kwa kutupatia hii biashara
Nimefanya training TMT Mwanza nikaanza Na mtaji Wa 90$ now naeleka 150 mpaka hii wiki iishe Na project kufika 250$
[HASHTAG]#fornoreason[/HASHTAG] [HASHTAG]#tmt[/HASHTAG]
Benki nzuri FNB faida ndio unaitoa cash ila kwenye real acc si demo inatake time kidogo ila si muda sana utapewa maelekezo zaidi na [HASHTAG]#withdrawal[/HASHTAG]nisaidie kujibu swali hili:- Forex inatumia account za bank kawaida NMB, CRDB
JE faida unaweza kuitoa cash
na ni baada ya muda gan?
ok! nipe dondoo kidogo hii kitu unajiungaje kama sitaki kupitia TrainingBenki nzuri FNB faida ndio unaitoa cash ila kwenye real acc si demo inatake time kidogo ila si muda sana utapewa maelekezo zaidi na [HASHTAG]#withdrawal[/HASHTAG]
Ndugu bila training utakuja kunilaumu sawa naweza kukuelekeza ila si hi Kitu ni biasharaok! nipe dondoo kidogo hii kitu unajiungaje kama sitaki kupitia Training
niulizie kama nguo tajwa hapo juu ninaweza pata pamoja na bei yake.Wale walikua hadi na Nguo za alovera hawa sijui watakuja na nini
kazi ninayofanya ni full time ndo maana najaribu kuuliza hivyoNdugu bila training utakuja kunilaumu sawa naweza kukuelekeza ila si hi Kitu ni biashara
Lipia training kwa ontario maana ndio bei rahisiiiiii hutokuja kujuta maana hautawaza kama ulitoa hela bali ulisoma bure ukitaka ku trade kihuni nenda website ya Jp market utapata way ya kufungua acc ILA KAPATE TRAINING KWA ONTARIO
Fuata hizi hatuakazi ninayofanya ni full time ndo maana najaribu kuuliza hivyo
Yaani hao wote unafikiri wanakutapeli?.Tupeni ushahidi acheni utapeli..
Wenye matatizo makubwa ni wao ambao kama bishara inawalipa wnahangaika nini kushinda humu jf kui promote badala ya kuwa busy kutengeneza faida mara 10000..Yaani hao wote unafikiri wanakutapeli?.
Una matatizo makubwa
Sio wachoyo wanataka na wengine wafaidiWenye matatizo makubwa ni wao ambao kama bishara inawalipa wnahangaika nini kushinda humu jf kui promote badala ya kuwa busy kutengeneza faida mara 10000..
kwani tsh imekuwaje?Hivi hizi siku mbili mlivyotrade na tsh imekuwaje huu mchezo bwana mi naona mnadanganyana
Hivi hizi siku mbili mlivyotrade na tsh imekuwaje huu mchezo bwana mi naona mnadanganyana