Mrejesho: Forex ya Ontario

Mrejesho: Forex ya Ontario

Sasa si umeshaliwa pesa ya mafunzo au uliingia bure.Wenzako wana ajira ya uhakika.
Sio sahihi.

Tangulini kujifunza taaluma, ikawa ni kuliwa fedha??

upload_2017-10-24_18-18-56.png
 
84597882c208f8c13f5fee220c40e4de.jpg

We jamaa Wa kuitwa Ontario uendelee kuishi miaka mingi utaacha kumbukumbuku uliotukuka miongon mwa vijana Wa Tanzania kwa kutupatia hii biashara
Nimefanya training TMT Mwanza nikaanza Na mtaji Wa 90$ now naeleka 150 mpaka hii wiki iishe Na project kufika 250$

[HASHTAG]#fornoreason[/HASHTAG] [HASHTAG]#tmt[/HASHTAG]
nisaidie kujibu swali hili:- Forex inatumia account za bank kawaida NMB, CRDB
JE faida unaweza kuitoa cash
na ni baada ya muda gan?
 
nisaidie kujibu swali hili:- Forex inatumia account za bank kawaida NMB, CRDB
JE faida unaweza kuitoa cash
na ni baada ya muda gan?
Benki nzuri FNB faida ndio unaitoa cash ila kwenye real acc si demo inatake time kidogo ila si muda sana utapewa maelekezo zaidi na [HASHTAG]#withdrawal[/HASHTAG]
 
Benki nzuri FNB faida ndio unaitoa cash ila kwenye real acc si demo inatake time kidogo ila si muda sana utapewa maelekezo zaidi na [HASHTAG]#withdrawal[/HASHTAG]
ok! nipe dondoo kidogo hii kitu unajiungaje kama sitaki kupitia Training
 
ok! nipe dondoo kidogo hii kitu unajiungaje kama sitaki kupitia Training
Ndugu bila training utakuja kunilaumu sawa naweza kukuelekeza ila si hi Kitu ni biashara
Lipia training kwa ontario maana ndio bei rahisiiiiii hutokuja kujuta maana hautawaza kama ulitoa hela bali ulisoma bure ukitaka ku trade kihuni nenda website ya Jp market utapata way ya kufungua acc ILA KAPATE TRAINING KWA ONTARIO
 
kazi ninayofanya ni full time ndo maana najaribu kuuliza hivyo
 
kazi ninayofanya ni full time ndo maana najaribu kuuliza hivyo
Fuata hizi hatua

Hatua ya Kwanza:
SOMA HII THREAD: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Je kwa nini usome hiyo thread & Comment zake:
1. Utapata ufahamu wa FX nini?
2. Utapata vitabu na video zitakazokupa mwanga zaidi wa nini unatakiwa kufanya, Vitabu na video imetolewa na wadau wengi wanao fanya FX.

Hatua ya Pili: FUNGUA demo acount
Je kwa nini ufungue demo account, Sababu
1. Kwa kuwa umekamilisha hatua ya kwanza, Tayari utakuwa unafahamu ABCs za FX
2. Kile ulichojifunzainatakiwa ukifanyie mazoezi angalau kwa miezi mitatu (3): Still bado utakuwa hujaiva inavyotakiwa

Hatua ya Tatu: Lipia mafunzo mtanzaoni kupitia UDEMY .COM search FOREXBOAT - Online Courses - Anytime, Anywhere | Udemy course zao mbili zinatosha.

Hatua ya Nne: Hakikisha unapata Mentorship baada ya kufungua Real Account
Sababu
- Hakuna mwanafunzi anayefanikiwa bila uwepo wa mwongozo wa mwalimu.
- Hapo ndio umuhimu wa training itolewayo na TMT inapojitokeza

Kila lakheri mkuu
 
Wenye matatizo makubwa ni wao ambao kama bishara inawalipa wnahangaika nini kushinda humu jf kui promote badala ya kuwa busy kutengeneza faida mara 10000..
Sio wachoyo wanataka na wengine wafaidi
 
Hivi hizi siku mbili mlivyotrade na tsh imekuwaje huu mchezo bwana mi naona mnadanganyana
 
Jamaa anadhani kuna Pair yenye Tshss.......Kanichekesha kishenzi yaani! 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom