Mrejesho: Forex ya Ontario

Mimi ndo nimemaliza mafunzo Arusha sijaanza kutrade nataka nipate mawazo kwanza
Nakushauri achana na hii kitu...kaka mafunzo ya mwezi mmoja,kuna maguru wa financial market wanaumkza kichwa kila siku hiyo ni field yao wamezaliwa na kukulia Wall Street...we uje ule Pesa kifala tuu...

Nakupa ujanja...na wewe tafuta watu uwatrain urudishe Pesa yako...ama nenda shamba kabla hujajuta zaidi
 
Mkuu, kwenye uzi mrefu kama huu uwe unatumia Maandishi meusi,blue inaumiza macho
 
Ujue sisi watz tunakosea kabisa kwanza sheria za pesa zote zinasimamiwa na bank kuu siku wakiamua kuzuia any transaction hapo ndo mtalia na kusaga meno. .nchi za nje bank kuu zao kazi yake ni kumonitor the value of currency not controlling it..ndo maana forex inawezekana ila tz ni kudanganyana
 
Kuna hatari ya kufungiwa huko mbeleni ee?
 
Ngoja nipate mrejesho kwanza
 
Thread ya mrejesho hii hapa: Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…