Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,049
- Thread starter
- #21
Siyo kweli mkuuNdio ukweli wenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli mkuuNdio ukweli wenyewe!
Panga pangua hayo maneno utapata:-Forex ni ya kweli siyo kubet mkuu
Kweli mkuuSiyo kweli mkuu
Forex pia iko poa sanaBitcon ndiyo mpango mzima! Nasubiri Bitrubble ya Russia!!
Hawa hapa...hata response ya mtu ni mrejesho pia...huyu atakua manusuraKaribu
Hahaha wanaagiza magariEndelea kusubiri mrejesho wenzio wako wanaagiza magari, trade zinaendelea kama kawa...
Wale walikua hadi na Nguo za alovera hawa sijui watakuja na niniKama forever living teh teh teh
Nakushauri achana na hii kitu...kaka mafunzo ya mwezi mmoja,kuna maguru wa financial market wanaumkza kichwa kila siku hiyo ni field yao wamezaliwa na kukulia Wall Street...we uje ule Pesa kifala tuu...Mimi ndo nimemaliza mafunzo Arusha sijaanza kutrade nataka nipate mawazo kwanza
Mkuu, kwenye uzi mrefu kama huu uwe unatumia Maandishi meusi,blue inaumiza machoKijana mdogo @Ontorio aliyejizolea jina kubwa na hata kubadili jina lake na kuwa Mkuu na Chief akiiitwa na watu wa rika mbali mbali wazee kqa vijana. Kijana huyu ameleta sauti za matumaini kubwa miongoni mwa watu wengi, binafsi nampongeza sana kwa jitihada alizozionyesha.
Bila shaka mpaka sasa zaidi ya watu 500 watakuwa wamepata mafunzo kutoka kwa kampuni yake ya TMT (The Million Team). Nashukuru kuwa amewahi kuleta ushahidi wa mafanikio hapa jukwaani japo angali kwa watu wachache.
Uzi huu unalenga kuitisha mrejesho huru usiofungamana na UPANDE wa TMT bali uwe huru kwa maana ya kwamba wanufaika wote watupw mrejesho. Bahati nzuri asilimia zaidi ya sabini ni wanachama humu. Nataraji kuwa zaidi ya wanufaika mia tatu wamo humu. Idadi hii ni kubwa sana nilitarajia tuanze kuona thread za members wengi zikibadilika humu kutoka kulia maisha magumu na kulia kwa furaha za mafanikio.
Hebu ninaomba wanufaika wote tuje hapa tutoe mrejesho huru usiopendelea, kama umenufaika au umenusurika. Mrejesho huu pia unaweza kutoa taswira juu ya biashara hii kwa wakati ujao. Kumbuka watu wengi wakiishia kulalamika kwa kuliwa serikali sikivu ikisikia itajua ni utapeli na itafunga, hivyo natumaini pia kuwa mrejesho huu utanufaisha TMT kwa kuchukua hatua za kuboresha ama kuharibu kutokana na ubora kuzidi.
Asante
Majaribu2013
Mtoto wa Ontorio.
Njoo na hoja mkuu maneno uliyoandika hyawezi kubadili ubora wakeMleta mada ni kilaza kwanini hizo doubts hukuclear Kwenye training ,yani wewe ni kichaa
Kuna hatari ya kufungiwa huko mbeleni ee?Ujue sisi watz tunakosea kabisa kwanza sheria za pesa zote zinasimamiwa na bank kuu siku wakiamua kuzuia any transaction hapo ndo mtalia na kusaga meno. .nchi za nje bank kuu zao kazi yake ni kumonitor the value of currency not controlling it..ndo maana forex inawezekana ila tz ni kudanganyana
Asante mkuuMkuu, kwenye uzi mrefu kama huu uwe unatumia Maandishi meusi,blue inaumiza macho
Ngoja nipate mrejesho kwanzaNakushauri achana na hii kitu...kaka mafunzo ya mwezi mmoja,kuna maguru wa financial market wanaumkza kichwa kila siku hiyo ni field yao wamezaliwa na kukulia Wall Street...we uje ule Pesa kifala tuu...
Nakupa ujanja...na wewe tafuta watu uwatrain urudishe Pesa yako...ama nenda shamba kabla hujajuta zaidi
Thread ya mrejesho hii hapa: Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmiHebu ninaomba wanufaika wote tuje hapa tutoe mrejesho huru usiopendelea, kama umenufaika au umenusurika. Mrejesho huu pia unaweza kutoa taswira juu ya biashara hii kwa wakati ujao. Kumbuka watu wengi wakiishia kulalamika kwa kuliwa serikali sikivu ikisikia itajua ni utapeli na itafunga, hivyo natumaini pia kuwa mrejesho huu utanufaisha TMT kwa kuchukua hatua za kuboresha ama kuharibu kutokana na ubora kuzidi.
Tunataka mrejesho huru. Huo aliuandaa candidate mwenyeweThread ya mrejesho hii hapa: Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi