Mrejesho: Forex ya Ontario

Mrejesho: Forex ya Ontario

Mimi ndo nimemaliza mafunzo Arusha sijaanza kutrade nataka nipate mawazo kwanza
Nakushauri achana na hii kitu...kaka mafunzo ya mwezi mmoja,kuna maguru wa financial market wanaumkza kichwa kila siku hiyo ni field yao wamezaliwa na kukulia Wall Street...we uje ule Pesa kifala tuu...

Nakupa ujanja...na wewe tafuta watu uwatrain urudishe Pesa yako...ama nenda shamba kabla hujajuta zaidi
 
Kijana mdogo @Ontorio aliyejizolea jina kubwa na hata kubadili jina lake na kuwa Mkuu na Chief akiiitwa na watu wa rika mbali mbali wazee kqa vijana. Kijana huyu ameleta sauti za matumaini kubwa miongoni mwa watu wengi, binafsi nampongeza sana kwa jitihada alizozionyesha.

Bila shaka mpaka sasa zaidi ya watu 500 watakuwa wamepata mafunzo kutoka kwa kampuni yake ya TMT (The Million Team). Nashukuru kuwa amewahi kuleta ushahidi wa mafanikio hapa jukwaani japo angali kwa watu wachache.

Uzi huu unalenga kuitisha mrejesho huru usiofungamana na UPANDE wa TMT bali uwe huru kwa maana ya kwamba wanufaika wote watupw mrejesho. Bahati nzuri asilimia zaidi ya sabini ni wanachama humu. Nataraji kuwa zaidi ya wanufaika mia tatu wamo humu. Idadi hii ni kubwa sana nilitarajia tuanze kuona thread za members wengi zikibadilika humu kutoka kulia maisha magumu na kulia kwa furaha za mafanikio.

Hebu ninaomba wanufaika wote tuje hapa tutoe mrejesho huru usiopendelea, kama umenufaika au umenusurika. Mrejesho huu pia unaweza kutoa taswira juu ya biashara hii kwa wakati ujao. Kumbuka watu wengi wakiishia kulalamika kwa kuliwa serikali sikivu ikisikia itajua ni utapeli na itafunga, hivyo natumaini pia kuwa mrejesho huu utanufaisha TMT kwa kuchukua hatua za kuboresha ama kuharibu kutokana na ubora kuzidi.

Asante
Majaribu2013
Mtoto wa Ontorio.
Mkuu, kwenye uzi mrefu kama huu uwe unatumia Maandishi meusi,blue inaumiza macho
 
Ujue sisi watz tunakosea kabisa kwanza sheria za pesa zote zinasimamiwa na bank kuu siku wakiamua kuzuia any transaction hapo ndo mtalia na kusaga meno. .nchi za nje bank kuu zao kazi yake ni kumonitor the value of currency not controlling it..ndo maana forex inawezekana ila tz ni kudanganyana
 
Kuna hatari ya kufungiwa huko mbeleni ee?
 
Nakushauri achana na hii kitu...kaka mafunzo ya mwezi mmoja,kuna maguru wa financial market wanaumkza kichwa kila siku hiyo ni field yao wamezaliwa na kukulia Wall Street...we uje ule Pesa kifala tuu...

Nakupa ujanja...na wewe tafuta watu uwatrain urudishe Pesa yako...ama nenda shamba kabla hujajuta zaidi
Ngoja nipate mrejesho kwanza
 
Hebu ninaomba wanufaika wote tuje hapa tutoe mrejesho huru usiopendelea, kama umenufaika au umenusurika. Mrejesho huu pia unaweza kutoa taswira juu ya biashara hii kwa wakati ujao. Kumbuka watu wengi wakiishia kulalamika kwa kuliwa serikali sikivu ikisikia itajua ni utapeli na itafunga, hivyo natumaini pia kuwa mrejesho huu utanufaisha TMT kwa kuchukua hatua za kuboresha ama kuharibu kutokana na ubora kuzidi.
Thread ya mrejesho hii hapa: Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi
 
Back
Top Bottom