Mrejesho: Forex ya Ontario




We jamaa Wa kuitwa Ontario uendelee kuishi miaka mingi utaacha kumbukumbuku uliotukuka miongon mwa vijana Wa Tanzania kwa kutupatia hii biashara
Nimefanya training TMT Mwanza nikaanza Na mtaji Wa 90$ now naeleka 150 mpaka hii wiki iishe Na project kufika 250$

[HASHTAG]#fornoreason[/HASHTAG] [HASHTAG]#tmt[/HASHTAG]
 
Naomba kama kuna mwanafunzi aliyepata haya mafunzo na yuko Dom tuwasiliane
 
Kuna jamaa yangu mmoja ni Mzimbabwe ..anacheza hyo kitu..anasema currency now zina fluctuate sana..ni bora kusubili adi November, au december
Wanakuonjesha kafaida kidogo,then ukinogewa na kuongeza mtaji wanakupulukutisha.
 
Naunga mkono hoja
 
 
Alwayss we bank blue
Imetisha kiongozi bravooo risk management as well waache wapige kelele wenye mawingu katika bongo zao
 
Pene nia pana njia,watu tushaanza kua mafundi wa forex,mpk desemba tutakua level nyingine.ningeijua hii kitu mapema ningekua mbali sana,bila kutegemea hela ya mtu wala serikali.
 
Nilidhan nawewe ni mnufaika ushatusua kwenye huo mchongo ndio maana nikaufungua uzi wako kwa haraka,kumbe unawaita waje watoe ushuhuda
 
Mkuu asala ipo kama ujawa makini na soko
 
Billy Gate na utajiri wote alionao sijaona akiita watu nao wafanye hiyo biashara anayofanya yeye, ndio kwanza ana monopoly soko la operating system.
 
Billy Gate na utajiri wote alionao sijaona akiita watu nao wafanye hiyo biashara anayofanya yeye, ndio kwanza ana monopoly soko la operating system.
Hata linus tolvad alitengeneza linux lakini akaichia iwe open wengine watengeneze na wajifunze leo hii google kupitia android wanapiga hela kuliko hata alietengeneza linux kwa hiyo usikalili
 
Yaaani hawataweza kukuelewa mkuu kuna baadhi ya watanzania ni shida sana vichwa vichafu vimeoza ni watu wa kupinga kila kitu bila hata kuchunguza

Halafu sasa angalia aina ya maisha wanayoishi yaani magumu yanasikitisha wanataka kila MTU awe masikini ili wafanane nao .

Na ukichunguza utakuta walishawahi kutapeliwa mahali sasa wako traumatized bado hawajawa recovered wana dhani kila kitu ni utapeli wako down trended mentally bongo zao zinasoma loss tu hahahahahahah

Yaaani mtanzania ni ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…