Mrejesho: Forex ya Ontario

Hii kitu ipo na watu wanapiga hela... Mdogo angu awali aliniambia nikamkatalia nkamwambia forex ni utapeli tuu. Alisisitiza anaomba laki 5 kama sehemu ya msaada wangu kwake, nilimkatalia kwa macho makavu nilitamani hata kumfukuza kwangu. Baada ya kama mwezi hivi alinambia amepata wazo la biashara na jamaa yake ila mtaji mdogo. Nkamsaidia laki 700 dogo akaniaga anakwenda kufuata mzigo kama wiki 2 hakuonekana. Sikuwahi kumfuatilia sana kwe hiyo biashara yake. Baada ya kama miezi 3 hivi(mwezi oktoba sasa) dogo alikuja na kabegi kadogo ilikuwa usiku tunakula akachomoa 1.5 M akanipa zen akanambia asante kaka kwa kunilea leo naondoka kwako sasa naweza kujitegea. Nkamwuliza hela umepata wapi zote hizi akanjibu FOREX nilikuwa naogopa kukwambia kama nafanya forex. Forex is real.
 
Ndio ukweli wenyewe!
Mkuu Jogi,Kwa sasa hivi vitu vinaonekana kama utapeli fulani lakini mtoto ataakezaliwa leo akakua kufikisha umri wa miaka 18.Hatoshangaa kwasababu itakua ni sehemu ya maisha.wakati huo wewe utakua tayari mzee mwenye mambo ya kizamani.
kwahiyo atakaua ana option ya kufanya forex trade au crypto currency au network marketing,kuajiriwa.

Cha msingi kabla hujakimbilia kujudge do little research.
nikama kipindi fulani tulikua tukiona smart phone kama kitu cha ajabu touching abailities uwezo wa kupigia simu ukamuona live sasa hivi smart phone imeonakana ni jambo la kawaida.Tena ukionekana una nokia tochi automatically watu wanakujudge una shida....

Be open minded brother itakusaidia sana....
 
mie nimeanza jana tu nikaondoka na dola 50. Leo naenda kupiga zaidi ya hizo za jana na nimechukua likizo kabisa
 
mie nimeanza jana tu nikaondoka na dola 50. Leo naenda kupiga zaidi ya hizo za jana na nimechukua likizo kabisa
 
Mnatualika?
Tukianza kushusha nondo mnaanza kulalamika.

Nyie endeleeni kubeti kwenye group la ONTARIO

Mkiliwa mmezee, mkionjeshwa njooni mbio jukwaani
We are chasing pips you know!!!!
We download blue's[emoji170] [emoji170] [emoji170] [emoji170]
 
We are chasing pips you know!!!!
We download blue's[emoji170] [emoji170] [emoji170] [emoji170]
We nawe kaa soja wa zimbabwe! Kumzongazonga mzee wa watu ndio nini sasa!

Daunilodi mapeninda shea na watu kwenye mwendokasi au kuna noma?
 
Wajukuu zetu siku wakipitia comments zetu kwenye huu uzi watasikitika sana. Kwamba mabavu zetu walikuwa wajinga kiasi hiki. Kitu cha kujifunza kabla hujabisha kitu jaribu kuwa na ushahidi nacho. Kuna comment nimeona jamaa anauliza waliotrade na Tsh ilikuaje. Nimesikitika sana.
 
Kuna kitu kinaitwa FOMO (fear of missing out) wakimaliza training tu, ontario anawabadilishia game to cryptocurency.. h ahahah. Kila mtu anahamia huko..
 

umenena mkuu..
 
uyu mtu anastahili pongezi hivyo nimeona niandike uzi huu kuonyesha kwamba ni mtu muhimu hususani kwawatu wenye Malengo nimetumia jf kwamda mrefu lakini ni jukwaa la elimu tu na sayansi siku moja nikataka nisome tu stori ya mafanikio hivyo nika google nikaretewa stori ya uyu bwana ambayo ilikuwa ni uzi wa Ontario kwenye jukwaa la biashara ulioandikwa niulize chochote kuusu mafanikio nilipata madini yaajabu umo natanguapo nilifatilia mada zake mbalimbali kwakeli ni motivated sana mpaka nilipoona kuna kitu kinaitwa forex sikusita kujiingiza uko japo sijawa na mtaji mkubwa wa ku deposit uko, kwasasa aijapita siku bila kutembelea jukwaa hili la biashara kuangalia mada mbalimbali

Hivyo shukurani kwa uyu bwana kutoka kwangu japo sijafanikiwa lakini amenibusti Marengo yangu naamini tutafikia malengo yetu shukurani

 
".....Nimetumia JF kwamda mrefu"

Lakini kwenye wasifu wako unaonyesha upo humu tangu Nov 23 2017 au id mpya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…