KusiniKuchele
Senior Member
- Oct 26, 2015
- 168
- 303
HAbari za muda huu wana JamiiForums.
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa afya njema na uzima wa kiroho na kimwili. Leo nimekuja kuwashukuru walio niadvice kwa busara zao na kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kutoka kwa ile toxic relationship since September 2025.
Nilipambana sana pia kufanya interviews sehemu mbalimbali nikafanikiwa kupata Taasisi moja ya fedha mkoani X since November 2025 ( As mlinishauri niachane na ile kazi alonitafutia, maana ni kama alikua ananicontrol nayo na kuninyanyasa nayo).
So ahsanteni sana,kweli hakuna usiku usio kuwa na alfajiri. Nina furaha,amani namlea mtoto wangu (as you remember nilifiwa na mume aliniachia mtoto mdogo mmoja).
Am sooo focused, na Jina la Mungu lihimidiwe milele.