The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
hapana hakuna laana ya masingle mother kwenye ukoo wetuNa mama ako nae ni single mother mkuu. Au dada ako.
hapana hakuna laana ya masingle mother kwenye ukoo wetuNa mama ako nae ni single mother mkuu. Au dada ako.
Mimi hapana kwakweli napenda mwanaume mtulivu low key!UJUAJI🫡 hii kwao ni 10/10😃
Hata mm msukuma ila hapana kwakweli!🙌🏾Mi mwenyewe msukuma sio wote wengine mbona hatuna noma kabisa
Mdomo huo!hapana hakuna laana ya masingle mother kwenye ukoo wetu
Saivi yupo huru kuuza tu mwenyewe ndio anajiona mjanjaMnapenda sana uhuru wa kijinga mwisho wa siku mnaishia tu kubadilisha wanaume kama nguo. Ule uvumilivu wa kwenye mahusiano umetoweka kabisa kwa wanawake wengi.
Mara zote ubinafsi ndiyo umewajaa huku mnaangalia mapungufu ya wenzenu tu, huku yale ya kwenu mkiyachukulia kama ni hali ya kawaida. This is not good at all. Ukimpata mwanaume mwingine baada ya muda utamuacha! Utaenda kwa mwingine mpaka uzee ukukute ukiwa umetumika kweli kweli.
Ushauri wangu kwako; jifunze maisha ya kutulia. Jifunze kuwa mvumilivu kama na wewe unavyo vumiliea na wengine.
muulize vizuri baba akohapana hakuna laana ya masingle mother kwenye ukoo wetu
Nikuuzie bei ganiSaivi yupo huru kuuza tu mwenyewe ndio anajiona mjanja
Dau lako lipojeNikuuzie bei gani
Ukiulizwa kwa nini ulikubali kuingia kwenye mahusiano na muuaji, una jibu gani? Ni kwamba uliingia kwenye mahusiano kwa kukurupuka, au ulijichanganya kwa mtu usiye mfahamu. Huoni una matatizo?Tafuta my previous post sio unakuja na conclusion zako za kufikirika. Unamvumilia muuaji ili iweje
We msukuma wa wapi dear?Hata mm msukuma ila hapana kwakweli!🙌🏾
Masengerema kole ghete!We msukuma wa wapi dear?
Waombe radhi wanaume wasukuma. Wanaume makabila yote wanaulizaga hili swali.Duhh mimi sitaki kwakweli mambo ya uko wapi kila saa sitaeza🙌🏾
Alikuua? Pole sana aisee. Alifanya kitendo cha kinyama sana. Mwenyewe ukajifia zako ukaja kutujulisha na sisi huku.Tafuta my previous post sio unakuja na conclusion zako za kufikirika. Unamvumilia muuaji ili iweje
Nimeshadate na msukuma hakuna kupumua!Waombe radhi wanaume wasukuma. Wanaume makabila yote wanaulizaga hili swali.
Mimi sio Msukuma ila nina jamaa zangu wasukuma watatu hawana sifa anazoelezea huyu mleta uzi. Mmoja kwa mbaali ana anger issues, wawili walio baki ni watu poa sana aisee.Nimeshadate na msukuma hakuna kupumua!
Wapo wastaarabu wapo wa aina hiyo usibishe! Huyo mwenye anger issues ndio wengi wao na kuzirazira plus ego! Wapo wapole sana iincludings my dads!Mimi sio Msukuma ila nina jamaa zangu wasukuma watatu hawana sifa anazoelezea huyu mleta uzi. Mmoja kwa mbaali ana anger issues, wawili walio baki ni watu poa sana aisee.