MREJESHO: Hatimaye Nimefanikiwa kumuacha yule mwanamume wa kisukuma

Hongera Sana Pia Ikawe Heri Kwako
Kuachana Isiwe Vita Huwezi Kujua Mmoja Akamhitaji Mwenzie Huko Mbele
 
HAbari za muda huu wana JamiiForums.

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa afya njema na uzima wa kiroho na kimwili. Leo nimekuja kuwashukuru walio niadvice kwa busara zao na kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kutoka kwa ile toxic relationship since September 2025.

Nilipambana sana pia kufanya interviews sehemu mbalimbali nikafanikiwa kupata Taasisi moja ya fedha mkoani X since November 2025 ( As mlinishauri niachane na ile kazi alonitafutia, maana ni kama alikua ananicontrol nayo na kuninyanyasa nayo).

So ahsanteni sana,kweli hakuna usiku usio kuwa na alfajiri. Nina furaha,amani namlea mtoto wangu (as you remember nilifiwa na mume aliniachia mtoto mdogo mmoja).
Am sooo focused, na Jina la Mungu lihimidiwe milele.
Mnapenda sana uhuru wa kijinga mwisho wa siku mnaishia tu kubadilisha wanaume kama nguo. Ule uvumilivu wa kwenye mahusiano umetoweka kabisa kwa wanawake wengi.

Mara zote ubinafsi ndiyo umewajaa huku mnaangalia mapungufu ya wenzenu tu, huku yale ya kwenu mkiyachukulia kama ni hali ya kawaida. This is not good at all. Ukimpata mwanaume mwingine baada ya muda utamuacha! Utaenda kwa mwingine mpaka uzee ukukute ukiwa umetumika kweli kweli.

Ushauri wangu kwako; jifunze maisha ya kutulia. Jifunze kuwa mvumilivu kama na wewe unavyo vumiliea na wengine.
 
Hongera sana. Ungeattach na past thread
 
Msukuma gani asiyejua kupenda huyo? Sifa kubwa tuliyonayo ni upendo kwa wake zetu sasa huyu ni wa wapi? Isije kuwa ulikutana na Mjita akakudanganya kwamba mi Msukuma?
 
Wapo ambao hawana shida, ukipata huyo olewa naye! Ukutane na wapole tu wana upendo wa kweli na kuhudumia mwanamke si haba! Ila kutana na mjuaji muongeaji,kiburi kiko hapa🫡 utatubu ni kuzalisha nje kuhangaika!
UJUAJI🫡 hii kwao ni 10/10😃
 
masingle mother hua na kiburi na maneno ya ulaghai sana, usiwahi kumuamini single mother mpaka usikie upande wa pili. HAPA YANATENGENEZWA MAZINGIRA BOYA MMOJA AJICHANGANYE NAYEYE AKAPIGWE
Na mama ako nae ni single mother mkuu. Au dada ako.
 
Mnapenda sana uhuru wa kijinga mwisho wa siku mnaishia tu kubadilisha wanaume kama nguo. Ule uvumilivu wa kwenye mahusiano umetoweka kabisa kwa wanawake wengi.

Mara zote ubinafsi ndiyo umewajaa huku mnaangalia mapungufu ya wenzenu tu, huku yale ya kwenu mkiyachukulia kama ni hali ya kawaida. This is not good at all. Ukimpata mwanaume mwingine baada ya muda utamuacha! Utaenda kwa mwingine mpaka uzee ukukute ukiwa umetumika kweli kweli.

Ushauri wangu kwako; jifunze maisha ya kutulia. Jifunze kuwa mvumilivu kama na wewe unavyo vumiliea na wengine.
Tafuta my previous post sio unakuja na conclusion zako za kufikirika. Unamvumilia muuaji ili iweje
 
Msukuma gani asiyejua kupenda huyo? Sifa kubwa tuliyonayo ni upendo kwa wake zetu sasa huyu ni wa wapi? Isije kuwa ulikutana na Mjita akakudanganya kwamba mi Msukuma?
Yaani alinambia ni msukuma wa Runzewe ndani ndani kule nimekisahau kile kijiji.
 
Back
Top Bottom