KusiniKuchele
Senior Member
- Oct 26, 2015
- 168
- 303
Ndio huyohuyo wifi😎Msukuma gani tena isije kuwa ndio huyu wangu
🤣🤣🤣 alikuwa mke wa ngapi maana mimi wa tatu 😆😆😆Ndio huyohuyo wifi😎
Wasukuma na wanawake 😎Wasukuma tumefikiwa 😃😃😃
Wa pili huyu 😁🤣🤣🤣 alikuwa mke wa ngapi maana mimi wa tatu 😆😆😆
Yanaudhi mno, kuzaliana sasa🙌🏾 mimi nilishaapa siolewi na msukuma😅Wasukuma na wanawake 😎
Duuh mbona mimi ndoto yangu kubwa ni kuolewa na msukuma 😆😆😆😂Yanaudhi mno, kuzaliana sasa🙌🏾 mimi nilishaapa siolewi na msukuma😅
Msukuma inabidi upende zile nguvu za huduma na weusi.. mapenzi ya dhati utaumwa moyo kila sikuWa pili huyu 😁
Wapo ambao hawana shida, ukipata huyo olewa naye! Ukutane na wapole tu wana upendo wa kweli na kuhudumia mwanamke si haba! Ila kutana na mjuaji muongeaji,kiburi kiko hapa🫡 utatubu ni kuzalisha nje kuhangaika!Duuh mbona mimi ndoto yangu kubwa ni kuolewa na msukuma 😆😆😆😂
Anaweza akakupenda ila wivu na kukukontro🙌🏾Msukuma inabidi upende zile nguvu za huduma na weusi.. mapenzi ya dhati utaumwa moyo kila siku
Ila bado wanaoa wake wengi au wameachaWapo ambao hawana shida, ukipata huyo olewa naye! Ukutane na wapole tu wana upendo wa kweli na kuhudumia mwanamke si haba! Ila kutana na mjuaji muongeaji,kiburi kiko hapa🫡 utatubu ni kuzalisha nje kuhangaika!
Hehehe mimi anipe hela tu akitaka ani control hata pumzi 😆😆😆Anaweza akakupenda ila wivu na kukukontro🙌🏾
masingle mother hua na kiburi na maneno ya ulaghai sana, usiwahi kumuamini single mother mpaka usikie upande wa pili. HAPA YANATENGENEZWA MAZINGIRA BOYA MMOJA AJICHANGANYE NAYEYE AKAPIGWEHAbari za muda huu wana JamiiForums.
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa afya njema na uzima wa kiroho na kimwili. Leo nimekuja kuwashukuru walio niadvice kwa busara zao na kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kutoka kwa ile toxic relationship since September 2025.
Nilipambana sana pia kufanya interviews sehemu mbalimbali nikafanikiwa kupata Taasisi moja ya fedha mkoani X since November 2025 ( As mlinishauri niachane na ile kazi alonitafutia, maana ni kama alikua ananicontrol nayo na kuninyanyasa nayo).
So ahsanteni sana,kweli hakuna usiku usio kuwa na alfajiri. Nina furaha,amani namlea mtoto wangu (as you remember nilifiwa na mume aliniachia mtoto mdogo mmoja).
Am sooo focused, na Jina la Mungu lihimidiwe milele.
Unaolewa peke yako ila ukisikia kuna mtoto nje usishangae!Ila bado wanaoa wake wengi au wameacha
Duhh mimi sitaki kwakweli mambo ya uko wapi kila saa sitaeza🙌🏾Hehehe mimi anipe hela tu akitaka ani control hata pumzi 😆😆😆
“Life can only be understood backwards, but it must be lived forwards” ~ Søren KierkegaardHAbari za muda huu wana JamiiForums.