MREJESHO: Hatimaye Nimefanikiwa kumuacha yule mwanamume wa kisukuma

Saivi yupo huru kuuza tu mwenyewe ndio anajiona mjanja
 
Tafuta my previous post sio unakuja na conclusion zako za kufikirika. Unamvumilia muuaji ili iweje
Ukiulizwa kwa nini ulikubali kuingia kwenye mahusiano na muuaji, una jibu gani? Ni kwamba uliingia kwenye mahusiano kwa kukurupuka, au ulijichanganya kwa mtu usiye mfahamu. Huoni una matatizo?
 
Nimeshadate na msukuma hakuna kupumua!
Mimi sio Msukuma ila nina jamaa zangu wasukuma watatu hawana sifa anazoelezea huyu mleta uzi. Mmoja kwa mbaali ana anger issues, wawili walio baki ni watu poa sana aisee.
 
Wewe ni malaya na hukuwa na mapenzi ya kweli kwake aina hii ya wanawake ni hatari sana kwenye jamii zetu. Just imagine usingepata kazi ungemuacha? Rose Shoboka wewe blood fool
 
Mimi sio Msukuma ila nina jamaa zangu wasukuma watatu hawana sifa anazoelezea huyu mleta uzi. Mmoja kwa mbaali ana anger issues, wawili walio baki ni watu poa sana aisee.
Wapo wastaarabu wapo wa aina hiyo usibishe! Huyo mwenye anger issues ndio wengi wao na kuzirazira plus ego! Wapo wapole sana iincludings my dads!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…