Mrejesho: Kanifukuza ndani

Mrejesho: Kanifukuza ndani

Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa)

Jana pia kanicheki mchana kuhusu hiyo pesa nikamwambia nitakuchek baadae akasema fresh. Nikaona nijaribu kumla kimasihara kama wengi walivyonishauri

Usiku kwenye mida ya saa 3 nikampigia cm nikamuuliza naweza kuingia huko kwako dem akafurahi sana akasema njoo wala sijamlaza mtu ndani (sijui alijua nampelekea hela[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2])

Bac mwanaume nikajipindua nikaingia gheto kwa huyu single Mother nikalikuta limelala aisee nizigo haswa nikajisemea moyoni leo huyu lazima nimgonge kimasihara[emoji2][emoji2] basi dem akanikaribisha fresh nimekaa akaniuliza vp kuhusu ile pesa nikaanza kumpanga kwamba bado sijafanikiwa na blaah! Blaah! Za kutosha dem akasema poa.

Ila nikaona kama kaacha kunizingatia akaendelea kuangalia tamthilia zao bac mi nimekaa mule ndani mpaka saa tano nkamwambia nafika gheto kwangu kidogo ila narudi maana tupo vyumba jirani manzi akasema poa nkaona yes huyu wa kwangu leo na hiki kibaridi huyu leo lazima nimle.

Nimefika gheto nikachukua kama 20k kwa ajili ya dharura baada kama ya dakika 20 hv nikaona sasa ni muda sahihi wa kurudi kwa yule single mother aisee nimefika pale mlangoni kutikisa mlango naona umefungwa ikabidi nigonge dem akauliza nani nikasema ni mimi fulani dem akafungua mlango ile kufungua tu mi nikawa nishatanguliza mguu mmoja ndani duuh ghafla nashangaa dem ananisukuma namuuliza vp ananiambia hapana rudi kwako ukalale nikamwambia kwani shida nini akasema hapana we rudi kwako ile bado nimehamaki akaniambia kwa sauti ya juu "fanya haraka ujue unaniingizia mbu ndani" aisee ilinibidi nitoke kwa aibu maana kwa sauti ile nadhani hata baadhi ya majirani walisikia.

Mpaka sasa bado najiuliza hivi ni yule mwanamke aliekuwa ananishobokea namna ile ndio leo kanifanyia haya aisee kweli wanawake ni nyoka.

Pia soma mrejesho:Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki
Usiwaze bro me nilishafukuzwa kwa staili iyo iyo na mpka sasa naendelea kumega kisela tu simtafuti, anajileta mwenyew ghetto jumba la sanaa analiwa anasepa
 
Yani jamaa umefeli sana upo ndani na unaomba utoke urudi kama kwako vile mkuu!!!! Na kwa maelezo yako uyo maza usingeweza kumla unaonekana huna mbinu.... next time ukipata tukio kama ilo umealikwa night kwa manzi nunua chupa ya wine nenda nayo kama zawadi na make sure ukifika unamkabizi then jiongeze be gentle ingia kabatini chukua glass weka muanze kunwya na kunywa yako ni mdogo mdogo huku unasoma ramani.... mdogo mdogo chombeza ukiona kashazidiwa, we unaenda kifala kibunda huna na bado unaleta mbwembwe za naenda kwangu mara moja nakuja apo sio kwako ukiingia Hakuna kutoka
 
Mtoa mada soma hapa kwa umakini.
 
Ulivoludi geto kwako ulifeli mda uleule ungeanza uchokozi.
 
Sasa umemnyima hela alokuomba ulitaka afanyeje😀😀😀😀
Sasa anakasirikia nini wakati hela ni ya mchizi? Yani mtu anaomba hela isioyake asipopewa anakasirika..
 
Nina ahadi kibao za Kuwapelekea watu moto. Lkn najiona naweka future mbya sana. Tujitafakar Sana mnaopenda utelezi
 
Back
Top Bottom