Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Mkuu au unataka GB ili uendelee na mada yani unabembelezwa kinoma
 
Yani kila nikiona huu uzi naImagine namna gani walimtatua mwana[emoji23][emoji23]yani ile process kuachanusha zile kalio mbili na kutia kiwese[emoji23][emoji23]
Malizia story mkuu
 
Na una bahati wewe asa hivi tungekua tunaongea habari nyingine.
 
Mkuu pole kwa kilicho kupata.Vp lakini bafo unaendelea mahusiano na femu wako wa malta Vipi tena una mpango wa kumu alika aje bongo na yeye au utaenda tena malta
 
Back
Top Bottom