Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Kama uzi wangu niliyowahi kuutoa kuhusu kukutana na mrembo wa Malta

Niliondoka tarehe 12 February na Qatar air na kufika tarehe 13 Malta airport na baada ya taratibu zote za uhamiaji

Nilifanikiwa kukutana na mwenyeji wangu,akiwa ameambatana na mabinti wawili na Kijana wa kiume mmoja

Waliponipokea walinipeleka resting point moja karibu na airport na kuagiza vinywaji fulani hivi,sikupata ladha ya kile kinywaji, nikakataa na kuagiza soda

Wakiwa wanaongea kiingereza kidogo wakichanganya kilugha fulani, nilihisi kama kijana wa kiume hakufurahishwa mimi kufika kuonana na binti huyo, wengine wa kike wenyewe walikuwa wanafurahi kuona shemeji yao

Binti Sarah ambaye ndiye mwenyeji wangu alinikaribisha vizuri na niwe na amani na akaniambia wanaishi Saint Julian's hivyo, tukanyenyuka tupanda basi ya kuelekea huko

Baada ya kufika huko licha ya kufika huko na kukaa na binti Sarah hotelini huko Julian's,makubwa yalipata baada ya siku tatu, makubwa mnooo

Nahitaji daktari wa saikolojia anitibu ndo nije kuendelea na simulizi,nikipona nitakuja kuendelea ,kwa sasa sipo vizuri ...........

Pia soma:
Pole Mzee.Vipi walikutatua marinda nini??.
 
Bongo movie mafala sana. Cd ina dakika 90

Matangazo dakika 30, kulia dk 25, kutembea dk 19, kupayuka dk 8. Story line dk 5, majina ya wasshiriki dk 3.
Wananikeraga kwenye kulia na majini ya kibongo, usiombe ukute mchawi anapaa yaani wote script zinafanana
 
Back
Top Bottom