Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Tulikuonya hukusikia ukatuona sisi hamnazo ...nikikumbuka na wale jamaa walio kujaza upumbavu eti mwanaume kambi popote usiogope.[emoji1][emoji1] Haya Sasa tayari umesha kuwa wa mfano kwa vijana wa wenye akili za hovyo Kama wewe.

Ndio malipo ya kukisiliza kichwa Cha chini[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mzee Cosovo na stori zako, vip ile ya Mwanza mbona huimalizii,Kuna jamaa alikusaidia kidogo
 
Kama uzi wangu niliyowahi kuutoa kuhusu kukutana na mrembo wa Malta

Niliondoka tarehe 12 February na Qatar air na kufika tarehe 13 Malta airport na baada ya taratibu zote za uhamiaji

Nilifanikiwa kukutana na mwenyeji wangu,akiwa ameambatana na mabinti wawili na Kijana wa kiume mmoja

Waliponipokea walinipeleka resting point moja karibu na airport na kuagiza vinywaji fulani hivi,sikupata ladha ya kile kinywaji ,nikakataa na kuagiza soda

Wakiwa wanaongea kiingereza kidogo wakichanganya kilugha fulani, nilihisi kama kijana wa kiume hakufurahishwa mimi kufika kuonana na binti huyo, wengine wa kike wenyewe walikuwa wanafurahi kuona shemeji yao

Binti Sarah ambaye ndiye mwenyeji wangu alinikaribisha vizuri na niwe na amani na akaniambia wanaishi Saint Julian's hivyo ,tukanyenyuka tupanda basi ya kuelekea huko

Baada ya kufika huko licha ya kufika huko na kukaa na binti Sarah hotelini huko Julian's,makubwa yalipata baada ya siku tatu ,makubwa mnooo

Nahitaji daktari wa saikolojia anitibu ndo nije kuendelea na simulizi,nikipona nitakuja kuendelea ,kwa sasa sipo vizuri ...........
Crap 💩
 
Back
Top Bottom