Kabisa mkuuMie pia nasimama na mkewe, maan huyo mkewe amefanya hivyo kwa kulipiza kisasi kwa matukio ya mumewe, maaan amesema mkewe kataja wanawake anaohisi anatembea nao, na ukweli kawapatia wote sasa hapo nn?
Mkewe hana kosa lolote, tiba ya usaliti ni kisasi.
Nitaenda😀😀, siku hizi nimeweza kupunguza dhambi kubwa kubwaMbinguni huendi[emoji23]
Huruma haimfai.Duuuuuhhhhhh!!!
Vipi mkuu, mbona umekua harsh hivi? Hizo imagination ulizomwambia jamaa azii imagine ni hatari sana. Muonee huruma
Uzinzi unalipa yaani amezini na nyumba unamzawadia! Higo ni incentive tosha ya wake kuzini.Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya
Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.
Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,
Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,
Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion
Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana
Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi
Jamaa:hey beautiful missed you
Mke: hey baby missing you more
Jamaa: missed your voice sana
Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.
Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa
Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena
Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa
Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza
Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa
Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu
Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,
Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,
Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .
Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo
Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan
Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?
Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,
Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,
Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu
Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.
Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Kuachana na mke kisa,kachepuka sio njia sahihi ilihali mna watoto wadogo,inauma ila piga moyo konde angalia maisha ya watoto wako,pili Kama na ww unavua chup za wanawake wengne,kuwa na moyo mpana tu ili maisha yaende,maana yeye kafanya kulipiza,Pole sana,tunza watoto,ila kama una moyo mgumu kama Nduli(Mimi ninao),usiondoke nyumbani,hama kitanda tu,Ili watoto waendelee kukuona,fanya juu chini watoto waendelee kuwaona wote pamoja,watakushukuru siku moja maishani,usikimbilie kutafuta mwingine,jipe muda,mkeo anaweza akabadirika akawa kama maraika ukakuta mnaongeza watoto wengine wawili,jipe muda kidogo,watoto wakishakuwa wakubwa,kwenye miaka 12/14 hapo ukitaka kutengana kabisa ni poa,ila iwe ni last option.
Pole sana kaka,Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu..Japo sijaoa but I feel your pain,pole sana
Hajarudi bado
Nyumbani si alienda kaziniWapi kazin au bado
KaziniWapi kazin au bado
Kabisa mkuu
Duh !!! Kuna watu mna roho ngumuIshawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Nyumbani si alienda kazini
Ndio ni sambamba kwa sababu katika kuchepuka kwa mwanamke kunauwezekano wa kuzaliwa mtoto asie na vinasaba na baba wa familia.ni kweli lakini zinaenda sambamba na hii
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya
Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.
Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,
Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,
Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion
Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana
Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi
Jamaa:hey beautiful missed you
Mke: hey baby missing you more
Jamaa: missed your voice sana
Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.
Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa
Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena
Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa
Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza
Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa
Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu
Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,
Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,
Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .
Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo
Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan
Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?
Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,
Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,
Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu
Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.
Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Kumaintain ni ngumu halafu mtu mzima kumwambia mwambia hivyo anaona kama unamuinjoy! Anaenda anazoea halafu inakuwa sio ishu kwake sababu mnaishi wote,,,ndio ugumu ulipo aisee! Ila akiambiwa na stranger anapata goosebumps so kila kitu kinataka kiasi, you cant overdo it japo ni vyema kumsifia mkeo dailyJamani kumbuka ke ni kiumbe dhaifu mno wanadanganyika kwa vitu vidogo mfano wewe unaweza hata siku moja baada ya ndoa hujawahi kumwambia tena alivomzuri na jinsi uzuri wake haukinai,hujawahi kumwambia kapendeza,au kummis hata kama ni uongo,hujawahi kumnunulia gauni kama ulivokuwa ukifanya hapo nyuma yaani unampa hela akajinunulie atajua mwenyewe (ila kipindi cha uchumba ulikuwa wa moto) ko unabaki kusema hayo yalikuwa mambo ya zamani (tena sa hivi amekuwa mama watano)kumbe wajuba kutwa wanamsifia alivo mzuri,sasa mwanamke anafanyeje kama siyo kuchukuliwa kirahisi,kiufupi wanaume wanashindwa vitu vidogo vidogo ndo maana play boys wanawawin sana wanawake
Kama ambavyo mmeungana kuhalalisha wanaume kuchepuka, kwanini sie tusipendane?Ndio mnaungana kuhalalisha wanawake kuchepuka?