Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Halafu kwa Mikasa kama hii mtu ananiuliza eti naoa lini na ili iweje,
najijua vzr ni mzee wa maamuzi magumu kama siyo kupotea jumla nitaua jitu
 
Ni kwambie tu ndugu karibia wanawake wote kwasasa walioko kwenye ndoa wanaliwa nje,sasa ni maamuzi yako kumuacha au kuendelea nae.

Kumbuka asilimia kubwa ya wanamke waliopo kwenye ndoa wanaliwa nje.
Wee jamaa kwa hiyo akae na malaya si bora awabadilishe kadri awezavyo?
 
Nilikuwa na mjali kwa matumiz na huduma za watoto ndani lakin kusex nilikuwa sifanyi kama mwanzoni hapa nakir nguvu zote nilihamishia kwa mchepuko
Una makosa na rekebisha msameheane
 
Nimeishia tu kusikitika, ndoa iheshimiwe na watu wote ukiwemo wewe, mkeo na michepuko yenu.

Tamaa za mwili zinatuendesha hatufikirii kabisa familia na madhara kwa watoto pindi ndoa ikivunjika. Tunawatesa viumbe ambao hawakutuomba tuwalete duniani, Mungu atusamehe sana.
 
Wako ushamfuma mara ngapi mkuu
Huenda na watoto sio wake mkuu kama wanaliwa sana.
Ni bora waachane kila mmoja aende kwa mchepuko wake hakuna atakaemfurahia mwenzie

Wajuaje huenda hata yeye angemfuma angeomba talaka hapo ni nani kamuwahi mwenzie
hapo
Alisema mkewe ashajua mpaka mchepuko wake ko sio ngeni
 
Na mme kuchepuka inauma ukiwaza sasa hivi mme yupo kwa mchepuko akimuita majina yote. Mbaya zaidi unakuta na matumizi kwa mke yamepungua. Ndugu mleta mada maumivu,ni maumivu tu hakuna cha mme wala mke.

Mfano. Pale mwanamke akijua unachepuka haya ndio yanayojitokeza.

1: lazima apunguze kukupenda
2: lazima apunguze kukupa priority
3: mkilala hisia hapati tena maana anajua kuna unae mpenda zaidi yake.
4: kwenye maadalizi ya sex hawezi kukuandaa tena maana anajua wewe ni mchafu unayoa kule unachomeka kwake.
5: hata asipopika vizuri anajua utakula kwa mchepuko wako.

Sitetei umalaya wa mkeo ila wewe ndo chanzo. Yaani una mchepuko hadi mkeo anajua? Hii ni dhalau.

Kuna kaka mmoja alinambia kuwa yeye ana mchepuko zaidi ta 4yrs lakini mke wake hajui chochote.

Je imekuwaje mkeo anajua mchepuko wako?

Kuna kipindi mchepuko alikuwa akipigapiga simu usiku niliuwa sikumwambia kama nina mke baadae nilivyomwambia ndio akaelewa na simu hapig tena usiku.
 
Nenda kapime vinasaba (DNA) vya hao watoto kwanza kabla hawajaanza shule rasmi.

Mmeoana mwaka 2016 na akakushauri mhame eneo mlikokuwa mnaishi kabla ya kodi kuisha.
 
Hizi ni story za kale za kuhalalisha upuuzi na uzinzi kwa wanaume, km kuna maisha baada ya kusalitiwa basi pande zote zisimame kwenye hili.

Kwahiyo mwanamke avumilie tyuuh usaliti wa mumewe? Why na mwanaume asivumilie usaliti wa mkewe? Tatizo lenu wanaume mnaishi zama za kizamani ktk masuala ya ndoa, huku mkijua zama zimebadilika,

"Tiba ya usaliti ni kisasi" iko hivyoooh. Ukweli lazima usemwe tyuuh.
Kwangu mimi tiba ya usaliti ni busara...umuombe Mungu akupe busara na hekima pindi yanapotekea.

Na istoshe, wanaume rukishaoa si kwamba tunaoenda kuchepuka...bali maisha huko ndani yanageuka nyumba inakuwa Afghanistan..

Mwanaune anaamua kutafuta kipoozeo ili asife kwa mfadhaiko wa mawazo.

Dada zetu mkishaolewa, mnapoteza mahaba na malavidavi...mnahamishia kwa watoto...mume anakuwa ni ziada tu...

Hata penzi mnapunguza...mume akitaka penzi, hwmna muda wa kumkuna hapa na pale..mnamuambia " baba Ima nikishalala usiniamshe"

Mume akija mnatanua paja, twa twa twaa...paa paa paa..wazungu hao...haya tulale..

Ndoa ikifikia hapa kipoozeo ni lazima
 
Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie
Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh

Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani
Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa
Unanionea, unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua, unanionea
 
Shukrana mkuu ulio sema ni kweli kabisa mkuu na kwa asilimi 100% ntakuwa nimechangia yeye kunisaliti pia
Nakumbuka wakati tumeanza mahusiano nilimpenda sana na mda wote tulikuwa wote hata show nilikuwa nafanya hata mara 5 kwa siku ni mda wote tu kufanya na ndio maana hata watoto wetu wamepatikana mapema sna

Ila baada ya kuwa na mtoto wa pili sikuwa na ham nae sna na show ni mara mojamoja tu kwa week hata mara moja na zile msg na kuchat marakwamara sikuwa namtumia na nikiona msg yake napotezea mpka iwe ya muhim

Kiufupi ndani kuanzia 2020 hakuwa na mvuto tena kwangu tulishi tu kawaida ila sio romantic km zaman mpka sometimes ananiuliza mbona namfanyia hivo but sikujali

Kuna mdada kazin kwetu ni mpya kwny kaz na ni mdogo ndio alinivutia so mapenz yangu nikahamishia kwa mchepuko kwahiyo

huyo jamaa alie chepuka nae jana nakumbuka since mwaka jana niliona msg yake lkn sikuzingatia kabisa nikajisemea tu sasa hiv analea huyu nan anaweza kumtaka kiufupi alikuwa bize na watoto ukiangalia wamefatana

Sasa jana ilivyo tokea ndio nakumbuka huyu mtu hakuanza juz na wife kumsifia ni km alikuwa akimpa faraja yale mambo nilio kuwa nikiyafanya kwa wife jamaa ndio alichukua nafas

Nimewaza mambo mengi sana why kitu kama hiki kimetokea kulingana na heshima yangu kwny jamii na watu wanavyotuona tunavyofurahia maisha na wife na watoto wetu kila mtu atatamani kuiga

But wife amekuja kuliwa na kijana mshinda gym tu na na kuvuta bangi.
Basi wote mna makosa tena wewe umezidi na umechangia pia kuchepuka kwake,we uliona kwenda kwa mchepuko ndo solution lakini umeongeza tatizo,ni wakati wa kukaa sasa na kutengeneza upya na kujitafakari kwa kina talaka haitakusaidia kamwe,
Kingine unatakiwa kujua kwamba mapenzi hayazeeki sio nguo kwamba fasheni ikipa imepita hapa yaani hata mkiwa na miaka hamsini mkeo atahitaji kubembelezwa kidogo,wizawadi vya hapa na pale,outing na vingine ko unahitaji kubadilika wewe kwanza
 
Yaani mtu anaanza kuishi na mtu mwingine waliyekutana wakati wote vitovu vimekauka. Halafu haina kupeana miiko, kanuni na taratibu za mahusiano yao ya ngono?

Hilo ni tatizo kubwa mno.
Kwahiyo ulitaka iweje sasa?
 
Back
Top Bottom