jumasangoma
Member
- May 22, 2020
- 47
- 64
Mleta maada unachukua maamuzi gani embu tupe mawazo yako tukupe support
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa kwa hiyo akae na malaya si bora awabadilishe kadri awezavyo?Ni kwambie tu ndugu karibia wanawake wote kwasasa walioko kwenye ndoa wanaliwa nje,sasa ni maamuzi yako kumuacha au kuendelea nae.
Kumbuka asilimia kubwa ya wanamke waliopo kwenye ndoa wanaliwa nje.
Nawe ulikuwa humjali ukabadilika
Kumbuka mapenzi hayana komandooRoho mtakatifu alinipitia ile ningemfanya mtu bucha na mwenyewe alijua akakimbia yani
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea sitaki mie, mbavu zinauma hapa lol
Una makosa na rekebisha msameheaneNilikuwa na mjali kwa matumiz na huduma za watoto ndani lakin kusex nilikuwa sifanyi kama mwanzoni hapa nakir nguvu zote nilihamishia kwa mchepuko
Alisema mkewe ashajua mpaka mchepuko wake ko sio ngeniWako ushamfuma mara ngapi mkuu
Huenda na watoto sio wake mkuu kama wanaliwa sana.
Ni bora waachane kila mmoja aende kwa mchepuko wake hakuna atakaemfurahia mwenzie
Wajuaje huenda hata yeye angemfuma angeomba talaka hapo ni nani kamuwahi mwenzie
hapo
Lazima tueshe mnachanganya dam za koo tofauti bila huruma tunabakije."Hujaenda wewe leba". Aloooh kweli wanaume wanazidi kuisha
Na mme kuchepuka inauma ukiwaza sasa hivi mme yupo kwa mchepuko akimuita majina yote. Mbaya zaidi unakuta na matumizi kwa mke yamepungua. Ndugu mleta mada maumivu,ni maumivu tu hakuna cha mme wala mke.
Mfano. Pale mwanamke akijua unachepuka haya ndio yanayojitokeza.
1: lazima apunguze kukupenda
2: lazima apunguze kukupa priority
3: mkilala hisia hapati tena maana anajua kuna unae mpenda zaidi yake.
4: kwenye maadalizi ya sex hawezi kukuandaa tena maana anajua wewe ni mchafu unayoa kule unachomeka kwake.
5: hata asipopika vizuri anajua utakula kwa mchepuko wako.
Sitetei umalaya wa mkeo ila wewe ndo chanzo. Yaani una mchepuko hadi mkeo anajua? Hii ni dhalau.
Kuna kaka mmoja alinambia kuwa yeye ana mchepuko zaidi ta 4yrs lakini mke wake hajui chochote.
Je imekuwaje mkeo anajua mchepuko wako?
Kwangu mimi tiba ya usaliti ni busara...umuombe Mungu akupe busara na hekima pindi yanapotekea.Hizi ni story za kale za kuhalalisha upuuzi na uzinzi kwa wanaume, km kuna maisha baada ya kusalitiwa basi pande zote zisimame kwenye hili.
Kwahiyo mwanamke avumilie tyuuh usaliti wa mumewe? Why na mwanaume asivumilie usaliti wa mkewe? Tatizo lenu wanaume mnaishi zama za kizamani ktk masuala ya ndoa, huku mkijua zama zimebadilika,
"Tiba ya usaliti ni kisasi" iko hivyoooh. Ukweli lazima usemwe tyuuh.
Basi wote mna makosa tena wewe umezidi na umechangia pia kuchepuka kwake,we uliona kwenda kwa mchepuko ndo solution lakini umeongeza tatizo,ni wakati wa kukaa sasa na kutengeneza upya na kujitafakari kwa kina talaka haitakusaidia kamwe,Shukrana mkuu ulio sema ni kweli kabisa mkuu na kwa asilimi 100% ntakuwa nimechangia yeye kunisaliti pia
Nakumbuka wakati tumeanza mahusiano nilimpenda sana na mda wote tulikuwa wote hata show nilikuwa nafanya hata mara 5 kwa siku ni mda wote tu kufanya na ndio maana hata watoto wetu wamepatikana mapema sna
Ila baada ya kuwa na mtoto wa pili sikuwa na ham nae sna na show ni mara mojamoja tu kwa week hata mara moja na zile msg na kuchat marakwamara sikuwa namtumia na nikiona msg yake napotezea mpka iwe ya muhim
Kiufupi ndani kuanzia 2020 hakuwa na mvuto tena kwangu tulishi tu kawaida ila sio romantic km zaman mpka sometimes ananiuliza mbona namfanyia hivo but sikujali
Kuna mdada kazin kwetu ni mpya kwny kaz na ni mdogo ndio alinivutia so mapenz yangu nikahamishia kwa mchepuko kwahiyo
huyo jamaa alie chepuka nae jana nakumbuka since mwaka jana niliona msg yake lkn sikuzingatia kabisa nikajisemea tu sasa hiv analea huyu nan anaweza kumtaka kiufupi alikuwa bize na watoto ukiangalia wamefatana
Sasa jana ilivyo tokea ndio nakumbuka huyu mtu hakuanza juz na wife kumsifia ni km alikuwa akimpa faraja yale mambo nilio kuwa nikiyafanya kwa wife jamaa ndio alichukua nafas
Nimewaza mambo mengi sana why kitu kama hiki kimetokea kulingana na heshima yangu kwny jamii na watu wanavyotuona tunavyofurahia maisha na wife na watoto wetu kila mtu atatamani kuiga
But wife amekuja kuliwa na kijana mshinda gym tu na na kuvuta bangi.
Mleta maada unachukua maamuzi gani embu tupe mawazo yako tukupe support
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ulitaka iweje sasa?Yaani mtu anaanza kuishi na mtu mwingine waliyekutana wakati wote vitovu vimekauka. Halafu haina kupeana miiko, kanuni na taratibu za mahusiano yao ya ngono?
Hilo ni tatizo kubwa mno.
Una makosa na rekebisha msameheane
Nenda kapime vinasaba (DNA) vya hao watoto kwanza kabla hawajaanza shule rasmi.
Mmeoana mwaka 2016 na akakushauri mhame eneo mlikokuwa mnaishi kabla ya kodi kuisha.
😂😂😂😂pole wewe ndo chanzo.Kuna kipindi mchepuko alikuwa akipigapiga simu usiku niliuwa sikumwambia kama nina mke baadae nilivyomwambia ndio akaelewa na simu hapig tena usiku.